Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
nangoja shukrani ilotathminiwa.................hujambo mjukuu.
sijambo babu yaan kabla ya mwaka mpya utakua ushapata hiyo shukrani nzuri kuliko zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nangoja shukrani ilotathminiwa.................hujambo mjukuu.
I cant wait ......................kabisa cant wait
hivi Derimto angekuwa anakunywa Grants ingekuwaje vile tu ni Ndovu dah
hahaaa ucjal hani yaan loner ndio alimzibiti sahara la sivyo cjui inabidi umpe zawadi loner alijitahid kunilinda
preta, mzee wa rula, saharavoice,crashwise, freetown, derimto, wiselady, pakajimmy, hmethod, lilyflower, chipukizi, ncha, mrmiela, loner, bucho, baba ubaya, kings01, msindima, margwe, mzee wa serengeti, ndallo, ntavyo, samora, vince, ngongo, konakali, mtumishi wetu, maty, mwanajamiione, ld, kimey, maxence melo na wanajf wote. Guys i love you all. Mungu atuvushe salama.
ha ha...pole sana....siku ile nilikuwa kwenye zamu so sikuwa na namna.....ilinilazimu nikutoe wewe....next tym ni Saharavoice
Mamii ndo nazinduka awamu ya pili wacha kabisa ................ jamani I had a lot of fun........looking forward to see you again Preta.
Preta, Mzee wa Rula, SaharaVoice,Crashwise, FreeTown, Derimto, Wiselady, PakaJimmy, Hmethod, Lilyflower, Chipukizi, Ncha, MrMiela, Loner, Bucho, Baba Ubaya, Kings01, Msindima, Margwe, Mzee wa Serengeti, Ndallo, Ntavyo, Samora, Vince, Ngongo, Konakali, Mtumishi wetu, Maty, MwanaJamiione, LD, Kimey, Maxence Melo na WanaJF wote. Guys I LOVE YOU ALL. MUNGU ATUVUSHE SALAMA.
nangoja shukrani ilotathminiwa.................hujambo mjukuu.
Dah!!!! Huu usingizi ni balaa hii Arusha thing was balaa
ni balaa mno........duh.....usipime kabisa
Dah!!!! Huu usingizi ni balaa hii Arusha thing was balaa
Halafu full ndoto juu yake ila yule DJ alikuwa na maslahi binafsi kwa baadhi ya watu maana nyimbo alizokuwa anapiga zilikuwa specific kwa watu fulani hasa MJ1 na FL sijui alikuwa na ajenda gani nao lol!!!!!
The Finest, habari yako bana, pole sana kwa uchovu kaka angu,
Ila hio ndo kazi nzuri ya Paka Jimm, Preta, Derimto, lilyflower, Wiselady, Lonar, Chipukizi nk nk nk nk nk.
umeona eeh.......MJ1 kama kabaki huku vile....mbona simuoni.....mlimfikisha kweli?
Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.
Hahahah Fataki?? Hapana lol
Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............
I cant wait ......................kabisa cant wait
hivi Derimto angekuwa anakunywa Grants ingekuwaje vile tu ni Ndovu dah
Hata mimi nahisi hivyo hivyo hebu naomba ukaniangalizie pale MIDWAY labda yuko hapo.