The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Nakutakia la kheri Pal ila huyo mziki wake ni kizunguzungu na ukiona mahali mimi nanyanyua mikono watch ur step
Mbona dawa yake nimeishaipata tena aliyenipa hiyo dawa ni loner
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutakia la kheri Pal ila huyo mziki wake ni kizunguzungu na ukiona mahali mimi nanyanyua mikono watch ur step
babu usinisemee kwa bibi atanichapa c unajua nilitoroka mara moja 2
Umesema kaka Kimey mtaalam na magoli hufunga kwa mbali na ni bingwa kupiga mipira iliyokufa hadi golini kama Daviv Beck.
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?
Babu kesho narudi tena Arusha kupeleka mahari hii trip imekuwa succesful PJ,DERIMTO,PRETA,LILY FLOWER watanisaidia kwenye hili
Jamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
Mkulu...uko ktk Dozi yah....?Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
ha ha ha....halafu nimejaribu kuweka zile picha za yule tembo aliyekuwa anaenda kumfinya Hmethod nimeshindwa.......hmethod anatakiwa atushukuru sana mimi na chipukizi bila hivyo angemfahamu yule mwanatembo....kisawasawa
Mahari ya Loner advance unaleta kwa kwangu kama kaka yake kama tulivyokubaliana na itakayobaki tutasawazisha na kumaliza suala ya zile warning zako ulizotoa juu ya mwanajamii one ili usinibugudhi tena na mwanajamii one maana mpaka sasa anazunguka huku kichwani
asante mpendwa......maombi yalifika.....maana huko porini kama sio sala zako tulikuwa tufanywe kitoweo.......Derimto mpaka sasa hivi haijulikani yupo hospital gani.....presha ilishuka sana lakini anaendelea vizuri.....shuka tu ujionee mwenyewe
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.
Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.
Crap!!! Habari gani Derimto baba,
Unajua nimekumis gafla, uko wapi ndugu.
Weupe nawapenda bana.
halafu wewe binti hebu nishukuru fasta kwa ufanisi wa kazi ulonipa. I care and guard at the same time
kwa kweli hii sitaikosa ila aika mangi ufanye mpango wa kuja na dumu la mbege ctaki kunywa vinywaji vingine vile vya rangi ya njano kwani vinafanza vibaya
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana
Will pm uwhat happened tena.....coz nakumbuka ulisema tutaongozana....but worry not....next tym dear
Sweety una machale kama maty mwenyewe maana alituma na kusema anamtaka mtu mmoja tu anayeitwa LD ampeleke lakini alipotoka Bigirita akabadili mawazo na kumaliza shida zake kifuani kwa big.
Derimto kwa uhakika zaidi hebu nenda kaniangalizie tena MIDWAY maana nahisi kuna kondoo walibaki pale
Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile
Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!