Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Preta, Mzee wa Rula, SaharaVoice,Crashwise, FreeTown, Derimto, Wiselady, PakaJimmy, Hmethod, Lilyflower, Chipukizi, Ncha, MrMiela, Loner, Bucho, Baba Ubaya, Kings01, Msindima, Margwe, Mzee wa Serengeti, Ndallo, Ntavyo, Samora, Vince, Ngongo, Konakali, Mtumishi wetu, Maty, MwanaJamiione, LD, Kimey, Maxence Melo na WanaJF wote. Guys I LOVE YOU ALL. MUNGU ATUVUSHE SALAMA.
 
I cant wait ......................kabisa cant wait

hivi Derimto angekuwa anakunywa Grants ingekuwaje vile tu ni Ndovu dah

pale alikuwa ameshakunywa lemomo....alikuwa anasuuzia tu.....huku ngalelo ukiona mtu ameingia bar ujue katokea mbali.....
 
hahaaa ucjal hani yaan loner ndio alimzibiti sahara la sivyo cjui inabidi umpe zawadi loner alijitahid kunilinda

Loner uje mbele tafadhali I have your special gift. I didnt know that you love your brother that much. Proud of you Loner!
 
preta, mzee wa rula, saharavoice,crashwise, freetown, derimto, wiselady, pakajimmy, hmethod, lilyflower, chipukizi, ncha, mrmiela, loner, bucho, baba ubaya, kings01, msindima, margwe, mzee wa serengeti, ndallo, ntavyo, samora, vince, ngongo, konakali, mtumishi wetu, maty, mwanajamiione, ld, kimey, maxence melo na wanajf wote. Guys i love you all. Mungu atuvushe salama.

Na wewe pia Eaka Mangi, nakutakia neema ya kuchagulia kuuona mwaka mpya.

haika Ruwa
 
ha ha...pole sana....siku ile nilikuwa kwenye zamu so sikuwa na namna.....ilinilazimu nikutoe wewe....next tym ni Saharavoice

Angalao nimejua kuwa zamu yangu imepita. Du asafali!
 
Mamii ndo nazinduka awamu ya pili wacha kabisa ................ jamani I had a lot of fun........looking forward to see you again Preta.

Sema dada angu, pole na uchovu, naona unakumbukumbu nzuri ya ile Sever bana.
 
Preta, Mzee wa Rula, SaharaVoice,Crashwise, FreeTown, Derimto, Wiselady, PakaJimmy, Hmethod, Lilyflower, Chipukizi, Ncha, MrMiela, Loner, Bucho, Baba Ubaya, Kings01, Msindima, Margwe, Mzee wa Serengeti, Ndallo, Ntavyo, Samora, Vince, Ngongo, Konakali, Mtumishi wetu, Maty, MwanaJamiione, LD, Kimey, Maxence Melo na WanaJF wote. Guys I LOVE YOU ALL. MUNGU ATUVUSHE SALAMA.

We love you too.....na Mungu akubariki sana
 
ni balaa mno........duh.....usipime kabisa

Halafu full ndoto juu yake ila yule DJ alikuwa na maslahi binafsi kwa baadhi ya watu maana nyimbo alizokuwa anapiga zilikuwa specific kwa watu fulani hasa MJ1 na FL sijui alikuwa na ajenda gani nao lol!!!!!
 
Dah!!!! Huu usingizi ni balaa hii Arusha thing was balaa

The Finest, habari yako bana, pole sana kwa uchovu kaka angu,
Ila hio ndo kazi nzuri ya Paka Jimm, Preta, Derimto, lilyflower, Wiselady, Lonar, Chipukizi nk nk nk nk nk.
 
Halafu full ndoto juu yake ila yule DJ alikuwa na maslahi binafsi kwa baadhi ya watu maana nyimbo alizokuwa anapiga zilikuwa specific kwa watu fulani hasa MJ1 na FL sijui alikuwa na ajenda gani nao lol!!!!!

umeona eeh.......MJ1 kama kabaki huku vile....mbona simuoni.....mlimfikisha kweli?
 
The Finest, habari yako bana, pole sana kwa uchovu kaka angu,
Ila hio ndo kazi nzuri ya Paka Jimm, Preta, Derimto, lilyflower, Wiselady, Lonar, Chipukizi nk nk nk nk nk.

Acha tu maana jana wakati tunarudi watu server zilikuwa zinatema balaa
 
Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.

Hahahah Fataki?? Hapana lol

Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............

ha ha ha ha Vaisi Roi ukijumlisha na Voisi of Risoni ni balaa
 
Basi kesho tuandae ya watu wa dar pale Rose gerden au???
 
Hata mimi nahisi hivyo hivyo hebu naomba ukaniangalizie pale MIDWAY labda yuko hapo.

na FL atakuwa kafika kweli....ngoja niende midway saa hii......kuna upotevu wa wanakondoo hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom