WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies;
kwa niaba yangu binafsi niwashukuru Arusha JF wing (Kipapatio cha JF arusha), kwa idea nzuri.....ni mfano mzuri kuwa zaidi ya keyboard. Nafahamu kila mmoja wetu yupo self motivated na anaweka nguvu binafsi kwenye keyboard lakini zaidi katika kukutana na kujuana.
Kipapatio cha JF Arusha mmeonyesha mfano mzuri wa kuanza kuji-organize (mfahamu tu kuwa huku HEADQOURTERS tulianza muda mrefu na ndio maana ilikuwa rahisi kwetu kuja Arusha katika wingi wetu).
Mapokezi-----A
Suprise.........A
Ucheshi.........A++
Organization...A
Mahusiano......A
Mapenzi..........A
Urafiki.............A
Ni hayo tu........VERE VERE
hahaha,,love this,,,is vere vere!