Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
babu usinisemee kwa bibi atanichapa c unajua nilitoroka mara moja 2

Halafu wewe enzi za mwalimu ukiwa unaniangaria kwa macho ya mana ile (wizi mtupu) watu wangevunja kabati mitaa ya ungaltd. Na matejoo.
 
Umesema kaka Kimey mtaalam na magoli hufunga kwa mbali na ni bingwa kupiga mipira iliyokufa hadi golini kama Daviv Beck.

Naambiwa Kimey alivyo tua huko alijifanya mlokole
 
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?

Unamaanisha FATAKI?
 
Babu kesho narudi tena Arusha kupeleka mahari hii trip imekuwa succesful PJ,DERIMTO,PRETA,LILY FLOWER watanisaidia kwenye hili

Mahari ya Loner advance unaleta kwa kwangu kama kaka yake kama tulivyokubaliana na itakayobaki tutasawazisha na kumaliza suala ya zile warning zako ulizotoa juu ya mwanajamii one ili usinibugudhi tena na mwanajamii one maana mpaka sasa anazunguka huku kichwani
 

We koma yule Dj.umpeleke wapi maana nilimleta kwa ajili yako tu na kazi yake imekwisha.
 
Mkulu...uko ktk Dozi yah....?
nasikitika sikufanikiwa kukutana na meba hata mmoja mwezi ulopta nilipokuwa huko....mara ingine nitawatafuteni huko....Heri ya mwaka mpya wote!!karibuni BBQ ya beberu wawili na freezer la makunywaji!!
 
ha ha ha....halafu nimejaribu kuweka zile picha za yule tembo aliyekuwa anaenda kumfinya Hmethod nimeshindwa.......hmethod anatakiwa atushukuru sana mimi na chipukizi bila hivyo angemfahamu yule mwanatembo....kisawasawa

We si ungetulia maana nimekufidhi ulikua pembeni yangu na mimi nilikausha suruali yako kina pj.wengine waliokua nyuma wasijue kilichoendelea shiiiiiiiiiiiii... Watajua ilikuwaje na wale tembo maana mpaka sasa unaweweseka usiku
 

Orait ila sasa hii advance ya mahari kukupa wewe itabidi nipate some sort of consultancy kutoka kwa Preta ili nione kama hiyo mahari inaenda sehemu yenyewe on the other hand kuhusu mjukuu wangu mkubwa MJ1 inabidi uje na convoy ya watu 20 kwa ajili ya kutuconvince if you are the right person
 
asante mpendwa......maombi yalifika.....maana huko porini kama sio sala zako tulikuwa tufanywe kitoweo.......Derimto mpaka sasa hivi haijulikani yupo hospital gani.....presha ilishuka sana lakini anaendelea vizuri.....shuka tu ujionee mwenyewe

Huyo amechomoka baada ya kuona mnataka kuposha ukweli ila maombi yamefanya kazi wasiokuwa na imani tuliwaona mara watoe msalaba mara biblia mara quruan mara kitambaa cheusi mara mfupa wa kitimoto na mara oo... Ilmradi waliomba kwa miungu yote ya kimarangu mpaka ya kinyashanzu
 
LD, unanigeuka leo, basi kuanzia sasa mimi naangukia kwenye penzi jipya la WL, hivi karibuni tutambulishana rasmi.

Wiselady nisamehe maluv kwa yote. tugundiane kwenye penzi letu jipya.

Utaumia wewe shauri yako we jidai una mapenzi ya mwaipopo hapa
 
Crap!!! Habari gani Derimto baba,
Unajua nimekumis gafla, uko wapi ndugu.

Weupe nawapenda bana.

Nipo mototo muzuri likuwa napata mai kitogo kila kitu ni bie sherry nimejaaa tele ila nilikuwa na muingiliano wa mambo lakini nimetulia nakuja kama ifuatavyo ulikuwa mpole sana juzi ulikuwa unatusoma tu wpai mamaaa Fl wa maukweli???? Ambia yeye naumiza mutima yangu
 
halafu wewe binti hebu nishukuru fasta kwa ufanisi wa kazi ulonipa. I care and guard at the same time

Naogpopa kusema kitu Big. Maana huyu mtoto tulimtoa nje apigwe na upepo na kwamba apandishwe kwenye toyo kutoka pale mianzini hadi sanawari na kurudi atatulia yeye anataka alale kifuani kwa Bigirita ndiyo raha yake au ilikuwa ni zuga tu!!!!???????
 
mpo wapwaaz wa arusha?nilichoka sana na safari ila nimeshaanza kuwamiss jamani.SV upo?miss u sana bana ila si zaidi ya PJ
 
kwa kweli hii sitaikosa ila aika mangi ufanye mpango wa kuja na dumu la mbege ctaki kunywa vinywaji vingine vile vya rangi ya njano kwani vinafanza vibaya

Hata hivyo wewe haunywagi pombe mwaya na eka mangi asikufundishe kabisa endelea vilevile kunywa maji na juice zako kama sile ulisokunywa jusjus tu!
 
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana

Sweety una machale kama maty mwenyewe maana alituma na kusema anamtaka mtu mmoja tu anayeitwa LD ampeleke lakini alipotoka Bigirita akabadili mawazo na kumaliza shida zake kifuani kwa big.
 
Sweety una machale kama maty mwenyewe maana alituma na kusema anamtaka mtu mmoja tu anayeitwa LD ampeleke lakini alipotoka Bigirita akabadili mawazo na kumaliza shida zake kifuani kwa big.

Derimto kwa uhakika zaidi hebu nenda kaniangalizie tena MIDWAY maana nahisi kuna kondoo walibaki pale
 

(Wimbo) Wewe ndiye asali wangu wa moyo wa dhiki na faraja mpz.kaza moyo ingawa watasema mengi midomoni mwao usiwajali hao. (Insp. Haroun)

Nataka kuleta mwingine baadaye maana watachakachua hapa ila mimi na wewe milele hakuna wa kutuzuia kwa majungu wa thread mapenzi yameshaota tumwagilie maji yakue.
JAMANI WENGINE NA VIROHO VYENU KAENI PEMBENI TUNAENDA ZETU KISIWANI (KISIWA CHA MALAVIDAVI)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…