</p>Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting
imenibidi nicheke kwa sauti....habari ake stakeholder meeting bana
Kwani MEMKWA ndo nini?heheheeeeee
MEMKWA inakaribisha wooote hadi wenye mpango wa kujiua... naanza na FL
uhuhuhuuuuuuuu
</p><font face="Comic Sans MS">kila nikijenga picha ya uso wa mdau wa stekiholdaz miting, najikuta nacheka kama mtambo flani...</font>
</p>Kwani MEMKWA ndo nini?
happy new year sweerie.im makin love not war ...on this nyu yaah:whoo:😛arty:Happy New Year na kwako pia
Mh mkono wa Derimto nimeupenda mzurii nauombeni.
Hahaaa ya kweli hayo Fl? Ila PJ hujagundua ma heartbreaker ndo hua wanagombaniwa? Hebu weka na we mkono wako tuuone.
Hahahaha Keizer wala sitanii asubuhi yawezakukuta ukingali unachezea ile ncha............mjimama wa watu nimetulia tuli kama niko kwenye stakeholders' meeting
happy new year sweerie.im makin love not war ...on this nyu yaah:whoo:😛arty:
make love, not war....on this christmas
leo ni lini jamani!!.....:confused2:........ :doh:
Shida ilikuwa nini...Loner?
Ndio maana nimewatumieni contacts zote...sasa na wewe fight kivyako!
......Péngyu xnnián kuàilè........:A S 101:......:gossip:
Derimto mbona unanitafuta ubaya lakini? Mie siwezishindana na FL hata kidogo yaani simfikii kwa lolote bana yule ni Mama wa Kwanza ati namheshimu.
heheheeeeee
MEMKWA inakaribisha wooote hadi wenye mpango wa kujiua... naanza na FL
uhuhuhuuuuuuuu
Mweka hazina wa MEMKWA tayari nshaandaa risiti.
Damn! Hivi leo lini?
ha ha ha......Happy New Year.....leo ni Ijumaa