MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Halafu huyu fitina zake ila najua jinsi gani ya ku-deal naye PK nakupa kazi ya kumfanyia surveillance WiseLady hadi nitakapo rudi chochote kitakachotokea you will be held responsible lol!!!!
Jamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
RED:..Nilipata shock sana...nilitegemea kukuta two or three guys, but gooosh...an unbelieveble crew of greatthinkers, all in a chamming mood, was so electrical honey..i remember Ze Finest guy had a snap of that thrilling action...will i gerra copy-cat?Jamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
Jamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
RED:..Nilipata shock sana...nilitegemea kukuta two or three guys, but gooosh...an unbelieveble crew of greatthinkers, all in a chamming mood, was so electrical honey..i remember Ze Finest guy had a snap of that thrilling action...will i gerra copy-cat?
BLUE: Will personally work on that, and feedback you ASAP.
Heartfelt Luv to you.
Hahahha kaka.......nataka nifanye naye research hahahhahaMmmhh namba ya DJ tena?!
Hahahha kaka.......nataka nifanye naye research hahahhaha
Habari zenyu kwa mpigo! Yaani mi sina maneno mengi ya kusema ila moja tu! Thank you guys for everything! Mi nilifurahi kupita maelezo. Big Up sana PJ & Co.
Ha ha ha ha we'll decideUmepata yupi sasa kati ya wale 10?
Maana kila mmoja ana brideprice yake:A S-alert1:..
Yule uliekuwa umekomaa nae du...hawapokei mahari za ng'ombe wale, maana ngombe kwao ni kama sir-god!
Kiongozi vp, mbona umekuwa mkimya ghafla, niaje chalii yangu wewe?Habari zenyu kwa mpigo! Yaani mi sina maneno mengi ya kusema ila moja tu! Thank you guys for everything! Mi nilifurahi kupita maelezo. Big Up sana PJ & Co.
Ha ha ha ha we'll decideUmepata yupi sasa kati ya wale 10?
Maana kila mmoja ana brideprice yake:A S-alert1:..
Yule uliekuwa umekomaa nae du...hawapokei mahari za ng'ombe wale, maana ngombe kwao ni kama sir-god!
Ha ha ha mjukuu yaani vituko tupuHahahahhahh Babu ndo ujue kwa nini wengine wanapewa pole wakati wengine wanauliza kwa nini hujasema lol............... usimchokoze bana asijetapika vipepeo shauri yako.
Kila nikiangalia ile picha ya PJ kanguka pale Midway kwenye utambulisho feki nacheka kweliHAhahahha was laughing at it all the way back jamani you guyz mlinichekesha hadi nikalia............yale makelele tulokuwa tunapiga pale midway na pale special place hadi tukafukuzwa hayanitoki kichwani lol..............................
Lol yule DJ aliniacha hoi hasa pale aliponikubalia ombi langu la kurusha kidole juu............... jamani pamoja na ule mwili anajiweza lol. Thanx kaka lots of luv to you too.
Hv kuna mwenye mafuta ya grisi niweke kiuno changu?..........nataka kiwe kama cha Mama wa kwanza aisee maana duh......hadi DJ akatoa ban kwa nyimbo nyingine akawa anapost zile za mama wa kwanza tu bana.