MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Halafu huyu fitina zake ila najua jinsi gani ya ku-deal naye PK nakupa kazi ya kumfanyia surveillance WiseLady hadi nitakapo rudi chochote kitakachotokea you will be held responsible lol!!!!
Hahahahhahh Babu ndo ujue kwa nini wengine wanapewa pole wakati wengine wanauliza kwa nini hujasema lol............... usimchokoze bana asijetapika vipepeo shauri yako.