Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Lol ............sema neno moja tu.........roho yangu ifurahi

Tulia Babe! C unajua humu ndani kelele nyingi na sisi watu wazima tunakaa kwenye nyumba zenye mapaa haturopoki hovyo WANGU WA UBANI NATAFUTA UTULIVU nikupe zabibu zako ule kwa raha zako wanakuonea wivu
 
Haya mashari haya
 
Posted via Mobile

Derimto hii uko guest gani hatutaki mambo ya Rombo Green View

Tulia basi mbona unatupigia kelel wakati MJ1 ameaga kuwa anaumwa tunapunga upepo mahali na hii ni official siyo kama wale wa rombo green view
 
Ha ha ha ha ha ha sijui ni re-save my comments maana nakumbuka mama wa kwanza alisema kuwa mutu ya kongo nakata sana mauno
hahahah Na ile sifa ya vipisi..................... yaani alivyoitoa hadi leo nacheka nikikumbuka!! Eti wanaongoza Africa sijui mashariki na kati sijui Africa nzima kwa kuwa na zunga za uhakika!!
 
habari yako gentleman

Niko poa mamaa nilikutumia bodygurg wakulinde na hizo rabsha za wabakaji wa Demokrasia sijui kama wameplay part vizuri nataka report nijiridhishe kabla sijawarudisha Dar
 
hahahah Na ile sifa ya vipisi..................... yaani alivyoitoa hadi leo nacheka nikikumbuka!! Eti wanaongoza Africa sijui mashariki na kati sijui Africa nzima kwa kuwa na zunga za uhakika!!
Hahaha mama wa kwanza hakuna asichoona lol! Wapi Dena Amsi na ishu ya chupa ya serengeti?
 
Niko poa mamaa nilikutumia bodygurg wakulinde na hizo rabsha za wabakaji wa Demokrasia sijui kama wameplay part vizuri nataka report nijiridhishe kabla sijawarudisha Dar
Komredi nashukuru kwa kujali maslai yangu! Ntaongeza marupurupu!
 
Umeanza umbea na uchawi humu ndani kwani wachina na wajapani wanjipodoaga au ni majungu tu? Halafu wewe !

hahaha!sawa mutu ya kongo,,vipodozi kwa sana,,lazma ununuliwe pamba,ulishwe,upelekwe saloon,upewe pocket money,,,mbona namuonea huruma
 
hahahah Na ile sifa ya vipisi..................... yaani alivyoitoa hadi leo nacheka nikikumbuka!! Eti wanaongoza Africa sijui mashariki na kati sijui Africa nzima kwa kuwa na zunga za uhakika!!

Ha ha ha ha ha lol!!!!! Nimekumbuka nimecheka sana
 
hahaha!sawa mutu ya kongo,,vipodozi kwa sana,,lazma ununuliwe pamba,ulishwe,upelekwe saloon,upewe pocket money,,,mbona namuonea huruma

Alaaaa kumbe ndio maana nimesikia Derimto alikuwa Arusha kusaka wanaenguaji wa bendi yake mpya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom