Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

alifikiri tuna vichwa vya nazi lol BTW umeshafika kwa walandizi 😕

Shosti kwani tumepita ile njia basi!!!!!!!!!
Tumepitia Msataaaaaaaaaaa...............Bagamoyo kupitia Kiwangwa kwenye mananasi, tukaja tokea Tegeta mpaka Mwenge,
Hata tungepitia ya Chalinze unafikiri ningeenda kwenye hiyo Shughuli, maana Kiuno chote Kimekaza.
 

Naona hususan Smile hapo kaka. Smile upoooooooo
 
Last edited by a moderator:
nilikutana na binti Mzuri wa sura na tabia, mrembo wa kupendeza mwenye rangi ya kiiraq! Ningekutafuta ungenipotezea timing! Uzuri tumekubaliana na atakuja Arabela Arusha soon.

marejesho umesikia????
 
Last edited by a moderator:

Amina.
Asante sana mwalimu kwa sala zenu/zetu tunaamini yote yanawezekana kupitia yeye aaminie
 

umependa mlima kilimanjaro bila zoezi ulifikir ungesalimika lol
 
umependa mlima kilimanjaro bila zoezi ulifikir ungesalimika lol

Ila kule Amboni ni kutamu, ila ule Mlima ni chiboko, maana nilimng'ang'ania yule..S......A... mpaka akalowa chapachapa Mkononi
Hv Mombasa tumesema ni Wiki ijayo, naomba Baba V asikanyage kule Mombasa, maana Hatarudi salama.
 
Last edited by a moderator:
babu kabla ya yote je memba wa dar wameshafika?
halafu nashukuru ule uzi wa picha umetolewa at least tumethubutu

tumefika dada wala usiwe na wasiwasi, hapo juu tayari nimeshatoa taarifa
 

Tender ya kukulegeza inanukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…