Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
Katavi kanielekeza kwako, unaweza nisaidia kutoka huku nilipo
si umepewa toto la kiarabu huko, tena lenye mimba kabisa!!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katavi kanielekeza kwako, unaweza nisaidia kutoka huku nilipo
alifikiri tuna vichwa vya nazi lol BTW umeshafika kwa walandizi 😕
Ni asubuhu hii wapendwa wageni wameondoka kurudi kwao....
Ilikuwa raha sana kuwaona wana JF hawa wakiongozwa na PakaJimmy.
It was so great moment meeting you friends, Preta, watu8, Madame B, Filipo, marejesho, Lily Flower, Blaki Womani, werawera, Arushaone, na HUSUSAN Smile.
Nawatakia safari njema na heri ya mwaka mpya.
Karibu tena Tanga.
Salama wa wale waliopanga kuja Tanga lakini wakashindwa kufika kwa sababu mbalimbali.
Love you all.
Coppy kwa: Dark City, KOKUTONA, Arabela na YNNAH
haya basi babu Dark City napenda kuchukua muda huu kumshukuru Mungu kwaajili ya ukuu wake ambao haukupunguka na wala hakutuacha yatima.
tusali
Mungu baba mwenyezi wewe uketiye juu sana mahali palipo inuka. Tunakushukuru sana kwani ulikuwa upande wetu katika safari ya Tanga na hakika hakuna kilicho kuwa juu yetu. si ajali, wala uharibifU, wala mauti vilivyowasogelea wenzetu waliosafiri na hata waliporudi majumban kwako.Hakika leo tunakushukuru sana kwa wema wako huu na kwamba wewe hukuwa na sikio zito ili kutusikia wala mkono wako haukuwa mzito ili kutuokoa.
kipekee kabisa tunaomba upendo uliopo katikati yetu uudumu daima na kristo Yesu akae katikati yetu na pendo lake. sifa na utukufu tunakurudishia wewe bwana,
AMEN.
Shosti kwani tumepita ile njia basi!!!!!!!!!
Tumepitia Msataaaaaaaaaaa...............Bagamoyo kupitia Kiwangwa kwenye mananasi, tukaja tokea Tegeta mpaka Mwenge,
Hata tungepitia ya Chalinze unafikiri ningeenda kwenye hiyo Shughuli, maana Kiuno chote Kimekaza.
marejesho umesikia????
Shukrani sana mkuu....nasi kwetu pia ilikua ni kama ndoto ambayo imetimia. Naamini huu ni mwanzo tu
umependa mlima kilimanjaro bila zoezi ulifikir ungesalimika lol
lazima urudi watu8 hapa kwaitwa mtakuja
trip moja uanzisha nyingine naamini zitapangwa na kutelekezwa
babu kabla ya yote je memba wa dar wameshafika?
halafu nashukuru ule uzi wa picha umetolewa at least tumethubutu
hahah...ni kweli Bela, tena hiyo mara nyingine yapaswa kuwa siku nyingi zaidi...
Shosti kwani tumepita ile njia basi!!!!!!!!!
Tumepitia Msataaaaaaaaaaa...............Bagamoyo kupitia Kiwangwa kwenye mananasi, tukaja tokea Tegeta mpaka Mwenge,
Hata tungepitia ya Chalinze unafikiri ningeenda kwenye hiyo Shughuli, maana Kiuno chote Kimekaza.
si umepewa toto la kiarabu huko, tena lenye mimba kabisa!!!?
Hongereni! Pj kwema huko?
Tender ya kukulegeza inanukia
Mwambie aliekutuma kuwa hujanikuta.
Mhhhhhhh....................!!!!!!!!!!!