Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)


Haha haaa ofa kabambe hii Mwanyasi usiiachie kabisa. Lakini saasaaa Smile itakuwaje?

All in all PakaJimmy pamoja na kusafisha nyota yangu bahari ya hindi kule Pangani na kuomba mizimu pale amboni bado naanimi MWAYAsi anafaa sana kwa nafasi hiyo, hata ahsubuh hii tumeongea tuna mpango wa kujipanga na kujidhatiti.
 
Last edited by a moderator:

Aaaamen!
 
Last edited by a moderator:

Tanga kunani pale!!
 
Last edited by a moderator:
waguna nini nawe??? au nitheme kule beach Pangani maana nilikuona

Eeeee.........!!!!!!!!!! Shem watu8
Unaanza eeee, Yule alikuwa mchezaji mpira wa Volley Ball, aliniona nimejiinamia ndo mana akaja pale ili kunipa kampani.
Manake naona ushaanza nongwa.........khaaaaaaaa...........!!!!!!!!!!!!
Ila yote 9 Kumi ni Ile Mbuzi ya Pale NYINDA.
Babu DC, Dark City uko Juu......... kama yule chui alielala mule juu pangoni.
Ila Acheni Mungu aitwe Mungu jamani, yaani ni kama Chui halisi...........
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi umemaliza kila kitu, nikiongeza nitaharibu. Ushirikiano ndo muhimu uongozi ni kuonyesha njia tuuuu..

Ila hili la mwisho, ni jana tu umepewa Smile chit chat leo wamtaka sweetlady? Hala hala usije ukawa km small house wetu Arushaone.
 
Last edited by a moderator:

Poa sana kabinti ketu!

Ni faraja kuona unafunguka!

Bado tunasubiri tathmini zaidi...lol!
 
Last edited by a moderator:

Kwa pamoja tumeweza babu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Kitu cha NYINDA mbuzi mlaini kama biskuti iliyolowekwa!

Dah.......... ila yule Boss wa NYINDA atatukumbuka sana,
Hivi ni Group gani wanaloweza kutufikia kwa Kula na Kunywa mpaka wakafikisha Laki 4 kwa muda wa Masaa tuseme 2 au 3 zaidi yetuuuuuu...............
Aisee sisi ni Kibokoooooo............... Hakunaga...............!!!!!!!!!!! TA Nzima.
HAPANA CHEZEA WATU NA PESA ZAO, WATU NA MALENGO YAO, WATU NA MATUMIZI YAO.
 
KOKUTONA usiachie hiyo nafasi kirahisirahisi bana! .. Mwanyasi si atakuwa mshika fuko la hela kama ilivyo kwa Preta anavyofanya Arusha-Wing?
Mimi niko tayari kugharamia gharama zote za kampeni, na kama kuna haja ya kutoa TAKRIMA nijulishe ili ni-draw fedha pale Uswis!

Nafasi ya Mwenyekiti Dark City isiongelewe kabisa Tafadhalini...Mwenye ndoto za kugombea uenyekiti ndoto zake hizo zitageuka jinamizi, na mizimu ya Amboni inaweza kumzuru kwa hasira!,,,lol!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:


Fuatilia vizuri mkuu kwenye mabandiko ya awali,

Safu imeshapangwa vizuri tu. ..... Uongozi umeshikwa na kizazi cha baada ya uhuru.

Sie kazi yetu ni kuwapa maushauri na mikakati!
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaa PakaJimmy ahsante kwa kunikubali na kuniaminia loool.

Wakati ukifika nikitangaza nia nitakubrief. Hela za kampeni tamu i see, siko tayari kuziachia.

Ila hiyo dua ya majinamizi mmmhhhhh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…