KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Waaoh!
Mkubwa sana Mwanyasi.
Mimi nilipokuwa natazama avatar yako nilikuwa nahisi mkuu huongeagi na watu!
Bt kila kitu kimekuja kuprove very wrong baada ya kuonana.
Mkuu unastahili kila sifa ya kugombea Ukatibu wa kundi la Tanga-Wing, japokuwa KOKUTONA ameahidi kuwa yuko tayari kuyanywa maji ya kule Pangani ili asafishe nyota na kuitwaa nafasi hiyo ya ukatibu...lol!
Mkuu pokea sifa kemkem, na ili kukuonyesha shukran wana -ArushaWing wameamua kwa kauli moja kukupa ofa ya One Night Stand na sweetlady pale Seaside Community Centre, kwa Sister MariaSalome!
Bili zote ziwe directed kwa account yetu iliyopo Meridian Biao Bank.
Haha haaa ofa kabambe hii Mwanyasi usiiachie kabisa. Lakini saasaaa Smile itakuwaje?
All in all PakaJimmy pamoja na kusafisha nyota yangu bahari ya hindi kule Pangani na kuomba mizimu pale amboni bado naanimi MWAYAsi anafaa sana kwa nafasi hiyo, hata ahsubuh hii tumeongea tuna mpango wa kujipanga na kujidhatiti.
Last edited by a moderator: