Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Lily Flower niahidi utamlinda akija Chugga, maana nina wasiwasi na......

Ondoa wasiwasi kabisa! Mimi nitampokea na akakuwa "salama" Mkuu! Nilishamuhakikishia hilo na wewe shaka ondoa. Mtoto mzuri namna ile sio tu unampa ulinzi bali unahakikisha habanduki ubavuni!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone,
Wamejilet-down wenyewe...kwani kuna pahala tulikwama?... Au tunadaiwa NYINDA?...Hakuna bana. Preta alikuwa imara sana asingeruhusu hiyo makitu itokee.

Viajana wa migodini nyie mnachapaa mbaya......
We Paka Jimmy hadi unaacha chenji?
 
Thanks Mwanyasi kweli tumenjoy ila Arushaone tunamtafuta basi zima haonekani hebu fanya jitihada za ziada za kumtafuta ukisaidiwa na Babu Dark City.
 
Last edited by a moderator:
Kweli akili mkichwa na joto lote hili la Tanga watu wanataka joto lingine?
Nakala PakaJimmy - kwa taarifa
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.
 
Last edited by a moderator:
Ondoa wasiwasi kabisa! Mimi nitampokea na akakuwa "salama" Mkuu! Nilishamuhakikishia hilo na wewe shaka ondoa. Mtoto mzuri namna ile sio tu unampa ulinzi bali unahakikisha habanduki ubavuni!

Wee Filipo ulishapokea wengi tupe na sie zamu khaa.
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.

sakata la Madam B lastaili kuchezewa movie
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.

Now i can understand you! Taratibu tutamalizia sehemu iliyobaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…