Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ule Ukunga ulikuwa wa hatari, lakini Chekshia nilivyodakwa ktk mikono laini hadi nikajihisi nimefika Mars.
![]()
Umenichekesha Blaki Womani, yaani ilikuwa bonge la Kabakabana
Mtoto ana akili sna huyuchezeya hesabu za kukopa wewe
Lily Flower niahidi utamlinda akija Chugga, maana nina wasiwasi na......
Mmmmh moyo wangu hauna imani kabisaaa, labda Blaki Womani na Lily Flower wanidhibitishie.....
Mbona bila wewe Pangani tungepotea......
We kweli kiboko kile kilio mmmmh.......!
Ni asubuhu hii wapendwa wageni wameondoka kurudi kwao....
Ilikuwa raha sana kuwaona wana JF hawa wakiongozwa na PakaJimmy.
It was so great moment meeting you friends, Preta, watu8, Madame B, Filipo, marejesho, Lily Flower, Blaki Womani, werawera, Arushaone, na HUSUSAN Smile.
Nawatakia safari njema na heri ya mwaka mpya.
Karibu tena Tanga.
Salama wa wale waliopanga kuja Tanga lakini wakashindwa kufika kwa sababu mbalimbali.
Love you all.
Coppy kwa: Dark City, KOKUTONA, Arabela na YNNAH
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.Kweli akili mkichwa na joto lote hili la Tanga watu wanataka joto lingine?
Nakala PakaJimmy - kwa taarifa
Kweli akili mkichwa na joto lote hili la Tanga watu wanataka joto lingine?
Nakala PakaJimmy - kwa taarifa
Viajana wa migodini nyie mnachapaa mbaya......
We Paka Jimmy hadi unaacha chenji?
Ondoa wasiwasi kabisa! Mimi nitampokea na akakuwa "salama" Mkuu! Nilishamuhakikishia hilo na wewe shaka ondoa. Mtoto mzuri namna ile sio tu unampa ulinzi bali unahakikisha habanduki ubavuni!
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.