Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Ukumbuke pia kuna watu wanatumia Samsung, Iphone n.k lakini hawana lolote la maana.
Na usishangae kukuta mtu anatumia samsung au iphone lakini anabangaiza ameajiriwa kwa mtu anayetumia Tecno!.
Simu pekee haitoshi kumaanisha kuwa mtu huyu ni tajiri au masikini.
Huyu alipo anatumia Samsung ya laki mbili anajioa tajiri mpuuzi sana jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha muhimu mawasiliano, maisha ni kuchagua aidha kuwekeza kwenye vitu vya maana ama kuwekeza kwenye vitu visivyo maana. Tajiri ni yule anayewekeza kwenye vitu vinavyoongezeka thamani kila baada ya muda fulani.
Haya sijui maiphone,masamsung, matecno ni makopo tu.
Pyaar aki uko mfunny.
Tuwe mabest humu.
 
ni kweli quality ya tecno ni duni kuliko samsung, iphone, huawei au sony lakini umiliki kati ya hizo simu sio kigezo mtu huyo maisha yake zofli khali au hali bora achilia mbali utajiri uliotaja.

maana tukianza kufafanua tajiri ni nani huu uzi utazidi kupoteana, aah nisijichoshe. mtoa mada utakuwa umenielewa, si ndio?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
unashangaa mods wanaweza vipi kuacha mada hii mpaka sasa, mtoa mada ameonyesha dhahiri uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana

futeni nyuzi kama hizi
 
Back
Top Bottom