Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Kumbe tecno hutumiwa na mafukara, sikujua hilo asante kwa taarifa njema.. ..Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Sent using Jamii Forums mobile app