Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wewe mwenyewe ni maskini...matajiri saiv wako insta na YouTube au wanastream movie wewe upo huku kubania MB na ukiingia fb unatumia free basic.
 
ni kweli quality ya tecno ni duni kuliko samsung, iphone, huawei au sony lakini umiliki kati ya hizo simu sio kigezo mtu huyo maisha yake zofli khali au hali bora achilia mbali utajiri uliotaja.

maana tukianza kufafanua tajiri ni nani huu uzi utazidi kupoteana, aah nisijichoshe. mtoa mada utakuwa umenielewa, si ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uwe tajiri uvumilie kero zote hizo za Tecno? Nini sababu hasa
 
level za simu sio utajiri, simu ni kifaa tu cha mawasiliano. mimi nina rafiki anatumia simu nzuri sababu anapiga picha vifaa vya kuagiza tu.
yupo vizuri lkn simu yake ya mawasiliano ni samsung 101 FM redio.

ila kabwela mimi hata sasa najipanga kubadili tena simu, yeye atabadili gari[emoji23][emoji23][emoji23]

tuelewane, simu nzuri sio utajiri aisee yaani mimi tajiri simu nzuri bando la 1gb inaisha muda wake saa2 usiku huu bado dk chache tu. napotea hewani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na pesa ya kununua chochote kizuri ukipendacho bila mawazo. Kiufupi utajiri ukupunguzie shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi natumia tecno na si masikini ila tu sijawahi kuzinguka na simu. Simu mie utumia kupigia na WhatsApp na msg kwenye internet issue natumia Ipad Air 2 na JF mara nyingi natumia Laptop HP Pavilion core i7 8th Gen. Mtoto wangu yeye mali anayojivunia ni iPhone x ambayo nilimpa baada ya kununulia na mradi mmoja nilikuwa nimewin.

Mtoa mada wewe bado ni mtoto kwa hiyo unajua kitu cha thamani katika Maisha ni simu ya gharama. Haiko hivyo sisi wengine tulishavuka huko. Bei ya iPhone X ni nusu ya ada ya mtoto wangu wa primary mmoja. Priority kwangu sio simu tena ni vitu vingine vikubwa vyenye kuzalisha. Hayo masimu tunahonga vitoto vya chou tunavikojolea tunavidump

Huwezi kuwa Mtu wa viwango na serious utumie tecno!!
 
level za simu sio utajiri, simu ni kifaa tu cha mawasiliano. mimi nina rafiki anatumia simu nzuri sababu anapiga picha vifaa vya kuagiza tu.
yupo vizuri lkn simu yake ya mawasiliano ni samsung 101 FM redio.

ila kabwela mimi hata sasa najipanga kubadili tena simu, yeye atabadili gari[emoji23][emoji23][emoji23]

tuelewane, simu nzuri sio utajiri aisee yaani mimi tajiri simu nzuri bando la 1gb inaisha muda wake saa2 usiku huu bado dk chache tu. napotea hewani [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tajiri mwenye Tecno hapa Tanzania, hakunaaaaaaaa 😂
 
Back
Top Bottom