Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Mimi ninayetumia tecno ilhali nina nyumba yangu na yule anayetumia Samsung aliyopewa na Dada yake anayefanya kazi kwa Waarabu Dubai yupi ana heri?
Simu au nguo sometime huendana na hulka ya mtu

Na hawa malaya wenye simu kali kuliko sisi tuwaweke kundi moja na wewe?
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.

Mimi natumia; take no., je wewe unatumia, something??
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.

[emoji23][emoji23][emoji23] halafu utasikia jamaa anasema sitaki ujinga kumbe Simu anayotumia ni ujinga tosha
 
Back
Top Bottom