Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Nokia ya tochi tupo huku nyuma,
Tukishuhudia mpambano mkali kati ya TECNO dhidi ya Samsung na iPhone, ila mpaka sasa tecno wamekaza vichwa, mpaka imepelekea aliyeanzisha mpambano huu Kupotelea kusikojulikana,

Mpaka sasa TECNO ni (3)-(0),
kumbuka hii ni infinity war,

Kwako mwl kashasha.
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Mkuu nadhani haya maneno yamekutoka tu,
Mtu anajiita ana simu kali,na maneno mengine mengi kama haya.
ukiumwa wiki moja tu lazima ndugu wote wapate taarifa
ili wachange ukapimwe hospitali.Mimi natumia techno na sihitaji Mungu kunitia nguvu katika hili
maana alinipa nguvu nikainunua na naendelea kuitumia kwa nguvu ninazokirimiwa na Mungu.
 
Mkuu nadhani haya maneno yamekutoka tu,
Mtu anajiita ana simu kali,na maneno mengine mengi kama haya.
ukiumwa wiki moja tu lazima ndugu wote wapate taarifa
ili wachange ukapimwe hospitali.Mimi natumia techno na sihitaji Mungu kunitia nguvu katika hili
maana alinipa nguvu nikainunua na naendelea kuitumia kwa nguvu ninazokirimiwa na Mungu.

Wewe unajuaje namimi nimepewa hiyo nguvu na Mungu wako yakununua iPhone pro max?
 
Unakuta mtu anatumia simu ya mil moja ila anaishi chumba cha 15000. 😁😁😁😁😁😁Vichochoroni, ukimuulizaa anapoishi anakwepa ahaaaaaa

Maskini wenzangu tunaotumia sim za bei rahisi tujuane.
 
Unakuta mtu anatumia simu ya mil moja ila anaishi chumba cha 15000. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vichochoroni, ukimuulizaa anapoishi anakwepa ahaaaaaa

Maskini wenzangu tunaotumia sim za bei rahisi tujuane.
Unaweza kuwa umepewa hiyo simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi natumia tecno na si masikini ila tu sijawahi kuzinguka na simu. Simu mie utumia kupigia na WhatsApp na msg kwenye internet issue natumia Ipad Air 2 na JF mara nyingi natumia Laptop HP Pavilion core i7 8th Gen. Mtoto wangu yeye mali anayojivunia ni iPhone x ambayo nilimpa baada ya kununulia na mradi mmoja nilikuwa nimewin.

Mtoa mada wewe bado ni mtoto kwa hiyo unajua kitu cha thamani katika Maisha ni simu ya gharama. Haiko hivyo sisi wengine tulishavuka huko. Bei ya iPhone X ni nusu ya ada ya mtoto wangu wa primary mmoja. Priority kwangu sio simu tena ni vitu vingine vikubwa vyenye kuzalisha. Hayo masimu tunahonga vitoto vya chou tunavikojolea tunavidump
Dah umenikumbusha kitu nilipokua chuo nilipewa laki 7 na mpenzi angu nikatafute cm nilijiona napendwa sana but nikiwaza tulivoachana sina hamu, pesa kwake ilikua imejaa so haikumaanisha upendo kunipa kias kile, BTW sikununuaga cm.
 
Ngoja sisi wa Jitide tutulie kwanza.......

Ila naomba sana Mungu aniepushie na kuwa na akili kama hizi za majivuno
 
Back
Top Bottom