rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Huwezikuelewa statement yangu kama unasoma haraka haraka bila kutafakari
Same same
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezikuelewa statement yangu kama unasoma haraka haraka bila kutafakari
Okay,kila la heriSame same
duuh mbona kuna vitu ni simple tu sio mpaka uwe na PhDUkitumia Tecno ni masikini?... Mbona inatangazwa na man city... Au mashabiki wa city wanaotumia nao ni masikini?
Fafanua zaididuuh mbona kuna vitu ni simple tu sio mpaka uwe na PhD
Wala sijajibu kwa nyodo. Nisamehe.Umenijibu kwa nyodo nadhani hujanielewa nilichomaanisha. Nina maana kuwa huyo anayekaa chumba cha elfu 15 na anatumia simu ya 1m anaweza kuwa amepewa sijamaanisha wewe simu unayotumia umepewa, sawa bibie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, mie sio mpenzi wa products za Apple!!Hutaki iPhone
comment yako ni dhaifu sana ®®Fafanua zaidi
Aliekuambia anayetumia Tecno nitajiri nani ujakuwa bado ww alafu ni mshamba kumbe bado hujui chochote kuhusu simu na matumizi yake kama unatumia simu kwajili ya showoff basi ww ni limbukeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Ulitaka nisemaje ili iwe strongcomment yako ni dhaifu sana ®®
Kwenye papuchi wacha heshima ivunjike tu napenda totoz na siwezi kuwaacha ndio kitu nachokipenda zaidi hapa duniani☝
Mkuu hapo ☝ na wewe umejivunjia heshima
Na mtotowako akifanyiwa hivyo utafurahi ?.Kwenye papuchi wacha heshima ivunjike tu napenda totoz na siwezi kuwaacha ndio kitu nachokipenda zaidi hapa duniani
sasa nifanyeje kwa mfano?Na mtotowako akifanyiwa hivyo utafurahi ?.
Mtu smart kujenga comment kwake ni kawaidaUlitaka nisemaje ili iwe strong
Hiyo comment ili iwe smart inafaa iwejeMtu smart kujenga comment kwake ni kawaida
Mimi sio miongoni mwao
iwe kama hiviHiyo comment ili iwe smart inafaa iweje