Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Aliekuambia anayetumia Tecno nitajiri nani ujakuwa bado ww alafu ni mshamba kumbe bado hujui chochote kuhusu simu na matumizi yake kama unatumia simu kwajili ya showoff basi ww ni limbukeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu vipi unatumia tecno? Maana kwa risala hii jamaa atakoma kabisa kutusema sisi wenye tecno


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu vipi unatumia tecno? Maana kwa risala hii jamaa atakoma kabisa kutusema sisi wenye tecno


Sent from my iPhone using JamiiForums
mm napenda Android phone kuna vitu huwa naifanya ndio maana navutiwa nayo tofauti na wakina IPhone huko,

Nilichosema nimekishuhudia kabisa mtu mshahara wake ni M3 Tsh kwa mwezi na anatumia Tecno ndio maana nikamjibu hivyo huyo mwenyewe fikra potofu.
 
ukitaka kujua simu unayomiliki unastahili kuimiliki, basi jiulize ikipotea/kuibiwa/ikifa itakuchukua muda gan!? kupata nyingine kama hyo.

mimi natumia itel S11 teh teh ila ikiibiwa hata mara 5 nna uwezo wa kwenda kuinunua ON SPOT, yaan ikipotea saiv nna uwezo wa kufata nyingine mda huu dukani, tena sio kariakoo kwenye bei punguzo bali duka lolote.

#jitafakari.
 
mzushi flani,
Mkuu mimi nimekuelewa, sio mtu unajilazimisha unanunua simu ya shs million moja ili kufurahisha watu, siku ikiibiwa au ikiharibika, unajikuta unaenda kununua kanokia ka tochi, kwa sababu ili upate kama ile iliyopotea utakulazimu kusubiri labda mwezi mzima au miwili, halafu ukinunua kale kakitochi inakubidi uwe unakaficha hutaki watu wakuone nako
 
Back
Top Bottom