Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Binafsi natumia tecno na si masikini ila tu sijawahi kuzinguka na simu. Simu mie utumia kupigia na WhatsApp na msg kwenye internet issue natumia Ipad Air 2 na JF mara nyingi natumia Laptop HP Pavilion core i7 8th Gen. Mtoto wangu yeye mali anayojivunia ni iPhone x ambayo nilimpa baada ya kununulia na mradi mmoja nilikuwa nimewin.

Mtoa mada wewe bado ni mtoto kwa hiyo unajua kitu cha thamani katika Maisha ni simu ya gharama. Haiko hivyo sisi wengine tulishavuka huko. Bei ya iPhone X ni nusu ya ada ya mtoto wangu wa primary mmoja. Priority kwangu sio simu tena ni vitu vingine vikubwa vyenye kuzalisha. Hayo masimu tunahonga vitoto vya chou tunavikojolea tunavidump
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mna dharau aisee
 
Huku kwetu Kwamtogole ukipata danga unaliendea kwa fundi likununulie techno kumbe bado tuko nyuma mwe.
 
Back
Top Bottom