Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Huyu alipo anatumia Samsung ya laki mbili anajioa tajiri mpuuzi sana jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pyaar aki uko mfunny.
Tuwe mabest humu.
 
ni kweli quality ya tecno ni duni kuliko samsung, iphone, huawei au sony lakini umiliki kati ya hizo simu sio kigezo mtu huyo maisha yake zofli khali au hali bora achilia mbali utajiri uliotaja.

maana tukianza kufafanua tajiri ni nani huu uzi utazidi kupoteana, aah nisijichoshe. mtoa mada utakuwa umenielewa, si ndio?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
unashangaa mods wanaweza vipi kuacha mada hii mpaka sasa, mtoa mada ameonyesha dhahiri uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana

futeni nyuzi kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…