Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha!
Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi mpya hadi sasa bado haujaanza ukiulizia sababu za msingi hamna!
Ukabila na ubaguzi kwa wageni! Halimashauri za kagera zimekubuhu sana kwenye suara ya ubaguzi hususani kwa wageni na watu wasio na asili ya mkoa hui kitu kinachowafanya watu na watumishi wasio na asili ya kagera kutokiwekeza mkoano humo.
Kutoa mawazo ya kuwa mkoa wa Kagera ni wa kwenu tu na akionekana mtanzania kuwekeza au kuja kwenu na kupata mafanikio inakuwa nongwa! Kwa kifupi hamataki kabisa kuona au kusikia mtu wa kuja anapata mafaniko.
Kuendekeza migogoro kwa watu wasio na asili ya mkoa wenu mfano mtu akinunua ardhi kagera ajiandae na kesi zisizo na tika ili kumzirumu archi yake na kitu hiki kinawafanya watu wengi wasiwekeze kwenu.
Mkoa wa Kagera picha ya kuwa na wasomi kede kede lakini mpaka miaka ya hivi karibuni haukuwa na chup cha VETA na mpaka sasa halmashauri za kagera hasan bukoba hakuna SOKO wala stendi nzuri za Daladala na pia stendi kuu imejaa mashimo na matope! Mnazidiwa na mikoa mipya kama Simiyu Njombe n.k
Naomba mtumishe fursa ya ziara ya mheshimiwa Raise Samia Suluhu Hasani kuwa na ajenda ya pamoja ili kuleta msisimuko wa uchumi kwa mkoa wenu na kukamirisha miradi ya kimkakati kama walivyofanikiwa wenzenu! Mfano Singida Mwanza, Morogoro nk!