Wana-Kagera, bila kubadilika na kukubali kuwa Kagera ni ya Watanzania wote, mtabaki kama mlivyo

Hakika mashemeji zangu wajirekekishe...bukoba imedumaa sana.
 
Ushawahi kwenda kununua ardhi moshi wewe?? Ukute wewe ni mchagga na kwenu ni zaidi ya Kagera
 
Kweli pameendelea kunywa mbege [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaa Wachaga bwana eti Moshi kuna maendeleo! Hapi hayo hata wilaya ya kahama tu inawapiga gepu kubwa sana! Endeleeni kukaririshana ujinga!
 
Yaa Wachaga bwana eti Moshi kuna maendeleo! Hapi hayo hata wilaya ya kahama tu inawapiga gepu kubwa sana! Endeleeni kukaririshana ujinga!
Nafikiri tatizo kubwa ni miundombinu ambayo mingi ni ya zamani inahitaji maboresho
 
Mbona kuna mambo wako mbele kuliko mikoa mingine ...mfano Uwekezaji kwenye Katerero😊
 
chasaka mna shida sana. Mchaga atabaki kuwa mchaga.

Ktk uumbaji Mungu alimuumba mchaga km binadamu daraja la kwanza.
Dada zako wa kichaga hawana huu ubaguzi ulouanzisha maana hata siyo wachoyo
 
Muwaambie na wachaga, wazee wa moshi mji wa matambiko. Nao haukui Tehteh teheeee [emoji16][emoji14][emoji1787].
Tangu nasoma uko vile vile. Juzi juzi didemba nimepita bado tu uko vile vile.
Ingia vijijin ndio paris, mchaga anathamin makaz mno vijijin uchagani kumejengeka kuliko mjini
Takriban 80% ya kila nyumba kijijin ni nzuri na ina huduma zote muhimu maji umeme
 
Hahaha wanalima wamechuchumaa[emoji23][emoji23]
 
Mhaya unaweza uchukue mali yake yoyote lakini sio ardhi yake. Ardhi ya Uhayani Mungu aliipendelea sana,mazao aliyopanda babu mpaka wajukuu wanavuna utaipata wapi ardhi hiyo? Ukitaka kumchokoza Mhaya gusa ardhi yake.
Kwani wanachukua kwa kudhulumu?
 
Yaa Wachaga bwana eti Moshi kuna maendeleo! Hapi hayo hata wilaya ya kahama tu inawapiga gepu kubwa sana! Endeleeni kukaririshana ujinga!
Kahama imetupita labda kupanda mafisi,kahama ukitoka km 2 nje ya mji unakutana na watu wanachota maji kwenye malambo na mifugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…