THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
I think atakuwa ana maanisha Wana keyboard,so kaamua kufupisha,au siyo Paskali?Hivi Paskali unavyotuita "wanabodi" huwa unamaanisha nini?
Tupo kwenye board gani na wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think atakuwa ana maanisha Wana keyboard,so kaamua kufupisha,au siyo Paskali?Hivi Paskali unavyotuita "wanabodi" huwa unamaanisha nini?
Tupo kwenye board gani na wewe?
Kama Dola haitaki wale COVID 19 wavuliwe ubunge wao, automatically hawewezi vuliwa ubunge huo,may be chadema wanajua ukweli ila wameamu kuwa safe side ili wasionekane wasaliti,Kwa nchi hii politics is our way to the destination of woe...Moja ya hasara ya kitaifa, ni hawa wabunge 19 kulipwa posho/ mshahara kinyume na sheria.
Wote tunajua kwamba chama kilishawavua uwanachama.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Hivi Paskali unavyotuita "wanabodi" huwa unamaanisha nini?
Tupo kwenye board gani na wewe?
Mkuu malantu , hao asilimia 90 wanaonipinga hawaijui katiba kikamilifu katiba ya Chadema!, bahati nzuri sana imetokea tuu mimi pia ni mwanasheria na somo nililopindua utadhani mtihani natunga mimi ni LW. 100, Katiba!.Ukisoma comments za wadau utaona kwamba zaidi ya asilimia 90 wanapinga ulichokiandika. Maana yake ni kwamba hoja zako hazina relevance yoyote, hivyo unatakiwa kubadilika. Watu si wajinga tena wa kulishwa propaganda zako.
Hivyo mimi sifuati formula ya wengi wape hata kama ni vilaza!. Nitasimama na ukweli na mwisho wa siku ukweli ndio husimama mpaka mwisho!.Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni ukweli, nitasimama nalo, hata kama nitabaki peke yangu!.
Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme! kwa kumlipa mfua umeme, IPTL, hivyo sio fedha za umma!
Paskali
Achana na hilo zee njaa akili zipo tumboni.Si ndivyo nilivyosema au wewe unataka nisemeje? Soma vizuri tangu nilipoanza ku'post' hii post labda hapo utaelewa ninachokisema. In fact, nilitofautiana na Paskali Mayala anayeona Chadema hawakuwatendea haki. Nikamuuliza kama anaona kugushi barua na sahihi kwamba walipendekezwa na kupewa baraka za chama ni sahihi. Hoja imeanzia hapo. Sasa unaniambia nini, mkuu? Soma tangu mwanzo utaona ninasema nini.
Hapana hiyo lugha unayotumia siyo ya staha. Hata mimi ni mzee na hata wewe utakuwa mzee. Tunajadiliana na tunaweza kutofautiana na tukitofautiana tusianze kutoleana maneno ya kuudhi. Au wewe hukuwahi kushiriki mijadala/debate shule ya msingi au sekondari - kununua baiskeli ni bora kuliko kununua radio? Kwani watoa mada kwenye hii mijadala wakitofautiana (kama ulikuwa ukishiriki) walikuwa wakitoleana maneno ya kuudhi? Hapana! Mwisho wa debate walikuwa wakishikana mikono. Ndivyo inavyotakiwa kwa watu wanaojadiliana. Tumia lugha nzuri na utaeleweka tu. By the way, hata mimi ni mzee na bado natafuta ajira ili familia ile maana sitaki niwe ombaomba. Kama una mihela ya kusaidia wazee wasitafute ajira nikupe namba yangu unirushie ili nipunguze idadi ya wazee wanaotafuta ajira wanaokukera.Achana na hilo zee njaa akili zipo tumboni.
Mpka umri huo bado anawaza kupata kazi za kuteuliwa kwa kulamba watu makalio.
Ni aibu sana kwa taifa na shule walizo soma kuwa na watu wa namna hii.
PASCAL, PASCHAL, PASKALI ni jina la Kikristo. Sikuwahi kuona andiko katika vitabu vitakatifu linalosema watu wote watakwenda mbinguni bila masharti maana Mungu alishawasmehe Kwa kifo cha Yesu Msalabani.Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na wabunge wake 19 wa viti maalum, una athari za Kitaifa zenye maslahi kwa taifa. Hoja yangu ya leo ni hii ,"kuna watu wana macho lakini hawaoni!, na wana masikio lakini hawasikii!". Swali ni je Chadema wana macho na yanaona?. Je wana masikio na yanasikia?. Kwenye hili la Wabunge 19, je Chadema wawasamehe wabarikiwe, au waendelee kukomaa nao mpaka kieleweke hata kama ni kulaaniwa?.
Naomba kukiri kupandisha bandiko hili, kwa inspirational kutoka andiko la Kaka yangu/mdogo wangu na bosi wangu kule TEF, Deodatus Balile.
Balile ameandika bandiko hili akiwa safarini jijini New Delhi nchni India.
C&P ya Balile
Mwisho wa kunukuu
Chief @Balile , nikiwa New Delhi nilijifunza imani ya Hinduism kuhusu kitu kinachoitwa karma, hivyo ushauri wako kwa Chadema, utawaepushia Chadema karma ya mambo
mabaya waliowatenda hawa wadada 19 ambao mimi nawaita ni mashujaa, hivyo huu ni ushauri mzuri, wa hekima na busara sana kwa Chadema wenye maslahi kwa Chadema na maslahi kwa taifa only if Chadema wana macho ya kuona na wanaona, na wana masikio ya kusikia na wanasikia, kwasababu kuna watu wana macho lakini hawaoni, na wana masikio lakini hawasikii.
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakabiliwa na kesi ya ugaidi, nilipandisha makala mfufulizo za Kilio cha Haki, nikiangazia haki jinai.
Kwenye sala yetu ya Baba Yetu, kuna mstari "Utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea" hivyo tulimpongeza rais Samia kwa kauli hii baada ya Freeman Mbowe kuombewa msamaha
Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
Baada tuu ya bandiko hili, haukupita muda hatimaye Freeman Mbowe alisamehewa na kesi ya Mbowe ilifutwa!,
Sisi wa kupongeza tukapongeza
Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!
Sasa kuna ugumu gani Chadema kuwasamehe hawa wabunge wake 19?.
Hili sakata la wabunge hawa toka lilipoanza, mimi nimekuwa very open, objective and very transparent
Na nikashauri Chadema
Katika Salaam zangu kwa mwaka mpya, Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote
Japo kwa jicho la juu juu, hao 19, wanaonekana kama wameshinda kesi yao mahakamani but in reality ni wameshindwa na hili nililisema The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! kwasababu katiba ya Chadema ina kipengele kilicho kinyume cha katiba, mwanachama wa Chadema akifungua shauri lolote mahakani, akishindwa kesi ni amejifukuzisha, hivyo Mahakama tayari imeishabariki kufukuzwa kwao, salama yao ni kusamehewa tuu!.
Kwa vile mimi namfahamu Freeman Mbowe kuliko Chadema wengi, Mbowe ni muungwana, Mbowe ni mtu wa shukrani, na baada ya kikao cha CC kuwatimua, Freeman Mbowe aliingia huruma na kufukuzwa kwao, akawasamehe, akawaita Nairobi, akawasamehe, akawashauri waombe msamaha, ili wayamalize, wakamgomea!.
It's high time Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Aikael Mbowe, kuitumia kofia yake ya Uenyekiti wa Chadema kwa kuitekeleza kwa vitendo sala ya Baba Yetu, kwa mtindo wa reciprocity kama yeye alivyosamehewa bila kuomba msamaha, sasa ni zamu ya na yeye kusamehe tuu bila kuombwa msamaha?., au Chadema iendelee kukomaa nao ili kuwaonyesha, kuwakomoa na kuwanyorosha?.
Tena na mimi kwa vile ubavu wangu ni pande za Kaskazi, na mimi nimeunga tela hija za migombani.
Merry Christmas
Paskali.
Thanks ila kwa ruhusa yako naomba kuitumia post yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.Figure of speech in quotation marks. Some kind of reward au mere gratification of the soul.
Mkuu Drifter, honestly nimefarijika sana na comments zako, kwasababu kiukweli kabisa humu JF ni wachache sana wanaonisoma na kunielewa most of times naishia kutukanwa, kubezwa na kusimangwa, wenzangu wengi wa calibre yangu wenye ngozi laini, ama wameachana na JF, ama wapo wapo tuu kama hawapo, mimi naendelea kuwepo kwasababu naandika from my heart and I love it, 2024 nitakuwa naandikia magazeti 6!, na kipindi changu hiki,Nimesoma mada zako nyingi kuhusu CHADEMA na sijashawishika kuwa zinaandikwa na mtu mwenye nia njema kuhusu hicho chama na upinzani kwa ujumla. Ni kama mtu anaye-celebrate ubabe wa chama dola kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla.
Mkuu Nkanini, kuna kitu kinachoitwa reality vs visibility, yaani muonekano, in reality Chadema ina mgogoro na hao 19, ila ni kweli kwa myopic visibility ya Chadema kwa ndani, wao ni hakuna mgogoro wowote, kwasababu kwao baada ya CC kuwatimua kwao hiyo issue imekwisha its final and conclusive. Hili jambo ukiliangalia from point of view of uchama Chadema, then you are right, hakuna mgogoro hili jambo limekwisha!, lakini ukiliangalia kwa jicho la haki bin haki, jee CC ya Chadema imewatendea haki?, jee wamefukuzwa kwa haki?, jee taratibu za kufukuza kwa mujibu wa katiba ya Chadema, zilifuatwa?. Halima Mdee ni Mwenyekiti wa Bawacha, Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka kusikiliza shauri lake na kumtimua?. Hoja yangu hapa kwenye hii issue, hakuna mkamilifu, Chadema sio wakamilifu kwasababu hawakuwaatimua kwa haki kwa mujibu wa katiba ya Chadema, hivyo the best option kwa muda uliobakia ni kuwasamehe, vinginevyo Chadema waitishe tena Baraza Kuu, wamalizane nao, na wakimalizana, wanarudi mahakamani, kufumba kufumbua ni 2025 hiyo!.Andiko nzuri my Adv.Mayala, ila HAKUNA mgogoro ndani ya CHADEMA, huo mgogoro unaouna wewe kama mwandishi,
Mkuu Nkanini, naamini katiba ya Chadema unaijua na umeisoma, imeweka utaratibu gani wa kuwafuta uanachama wanachama wake!, kwanini utaratibu huo haufuatwi?.issue hii CHADEMA walishatoa uamuzi wake na uamuzi ule ulikua kuwafukuza uanachama wale watuhumiwa,
Nashauri kwenye hili lets deals with facts on hand, haki ya kutafuta haki mahakamani ni takwa la katiba ya JMT, hivyo hao 19 wanayo haki hiyo bila shinikizo kutoka popote au kwa yeyote, unless kama una ushahidi na uthibitisho wa hilo shinikizo!.kwa shinikizo la chama dola wakaenda mahakamani
It's true hukumu imetoka case closed. Jee hukumu hii ni ya haki?. Imewatendea haki hawa 19?.na hukumu imetoka, case hii imefungwa,
Mkuu Nkanini, hapa nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%.na tuelewe kuwa kujiunga na chama cha kisiasa ni hiari ila ni muhimu katiba ya chama hicho kuiheshimu.
Pia hapa Mkuu Nkanini, hapa nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100% ndio maana mimi mwenyewe nineisha pandisha mabandiko yanafika hata zaidi ya 100 kuzungumzia hitaji la uchaguzi wa huru na haki, utakao simamiwa na Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.Tanzania yangu inahitaji kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Sintashangaa kama Mbowe atakuwa kinara kutaka hao covid19 wasamehewe kwani yeye na hao wanawake ndio vibaraka wa ccm. As long as Mbowe ni Mwenyekiti wa hicho chama kitaendelea kuwa saccos yake and the opposition will forever be weak!Mbowe alikwisha wasamehe ndio maana huwa hazungumzii hao watu ila walio mzunguuka Mbowe ndio tatizo!
Wee Mkuu Bulesi , usiseme hivi, wenyewe hawapendi maukweli ya kihivi!, niliwahi kuandika kitu humu, Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?Sintashangaa kama Mbowe atakuwa kinara kutaka hao covid19 wasamehewe kwani yeye na hao wanawake ndio vibaraka wa ccm. As long as Mbowe ni Mwenyekiti wa hicho chama kitaendelea kuwa saccos yake and the opposition will forever be weak!
Wafuasi watiifu hawataki kusikia hiii!Sintashangaa kama Mbowe atakuwa kinara kutaka hao covid19 wasamehewe kwani yeye na hao wanawake ndio vibaraka wa ccm. As long as Mbowe ni Mwenyekiti wa hicho chama kitaendelea kuwa saccos yake and the opposition will forever be weak!
Wapende wasipende ccm wanaona furaha Mbowe kuendelea kuongoza Chadema kwani wanauhakika uwekezaji wao utaendelea!Wafuasi watiifu hawataki kusikia hiii!
Heri ya mwaka mpya kabla haujafika!Wapende wasipende ccm wanaona furaha Mbowe kuendelea kuongoza Chadema kwani wanauhakika uwekezaji wao utaendelea!
Paskal hawataweza kwa sababu ya ugumu wa mioyo yaoWanabodi