Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

Dodoma ni idodomya ni kuzamisha pesa ya umma.

Ipo miradi inayojengwa ina umuhimu lakini karibu miradi mingi makandarasi ni makampuni ya kigeni.
Ni wazi pesa tunazowalipa hao mkandarasi zinapelekwa nje na kutufanya masikini zaidi.Hakuna mzunguko wa fedha wa haki,hata mishahara ya wafanyakazi wa kitanzania ni ndogo mno kulinganisha na wageni.

Ukiongezea Corona hali ya uchumi ipo mashakani .
Namna ya kujikwamua ni kukaa pammoja kama taifa mmoja na kuchagua vipaumbele vipi tuanzie navyo.
Nina imani collective leadership ni muhimu kwa sasa kuliko FOLLOW ME RULE.
 
Yaan jk alichokifanya itatuchukua 50 years ku recover. Kisha ndo tuanze hatua za kusonga mbele. Cjui pepo gan lilimwingia. Tz tulkia tunaenda kuzipita Kenya na Rwanda faster ila ndo ivo mzee mseven kutwa nzima kurusha vijembe kuka tz.
Nmeamini watz ni wanafiki na mtu akiwasikiliza huwezi kuwa kiongozi kwenye nchi ya wananchi aina ya watz,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi anafurahia janga hili likae hata miaka miwili kama wanavyosema watabiri ili muda wa Rais uishe aonekane hakufanya kitu.
 
Ng'ombe Aliyekatwa Mkia Machungani Akirudi Zizini Wenzake Watajua Hana Mkia
 
Hahahaa ni mwendo wa mabalaa, mikosi, nuksi na gundu.
 
Hajui value for money. Hawa ndio wnaapiga makelele kila siku eti kwa nini chadema hatuna ofisi kubwa yente gharama for what?? Kwani kuna mtu analala mule?? Chama kinajengwa kwenye mioyo ya wanamchi sio kwenye matofali na mchanga.
 
Miradi mingine aliyoacha ni kutapanya pesa na kuhonga wahuni wanaounga mkono juhudi.
 
Kuna mradi unaweza kufanyika bila feasibility study? Ni mradi gani haujaheshimu environmental impact assessment? Ni wapi ali mis use pesa? Alitakiwa afanye nini na akafanya nini? Hao Marais walioheshimu hivyo vitu nilivyokuuliza waliifikisha wapi nchi? Ni mradi gani wa CHADEMA uliowahi kufanywa kama chama? Remember kuna m 300 kila mwez za ruzuku, na kila mbunge anachangia 2m per month, bado misaada ya nje. Mnadhani nchi inaendeshwa kwa pombe za viroba? Unadhani kuna rais atakuja atakupa pesa mfukoni?
Miradi gani? Miradi isiyo na feasibility study
na isiyoheshimu environmental impact assessment ni misuse of money. Acheni kushangilia ujinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jk alifanya nini tianzie hapo? Nitajie mawili tu ya jk ambayo saiz hayapo? Na yaliinufaishaje nchi? Bila hivyo itakua sawa na umbea tu wa mwanamke malaya
Yaan jk alichokifanya itatuchukua 50 years ku recover. Kisha ndo tuanze hatua za kusonga mbele. Cjui pepo gan lilimwingia. Tz tulkia tunaenda kuzipita Kenya na Rwanda faster ila ndo ivo mzee mseven kutwa nzima kurusha vijembe kuka tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwambie mjomba wako agombee kama urais unatoka kwa bahati mbaya, nchi zote duniani zinaongozwa na wenye nguvu... Kama alikosa ujue hakustahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…