Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Corona 3-0 Ccm
Na ndio kwanza dakika ya 5 ya mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona 3-0 Ccm
Again..like when?MAke TAnzania Great Again
Dodoma ni idodomya ni kuzamisha pesa ya umma.Uko sahihi! Angalia mamilioni aliyoyatumia kujengea Ikulu yake ya kisasa Chamwino Dodoma! Kisa tu eti Rais wa Kwanza alitamani makao makuu ya nchi yawe Dodoma! For what!! Halafu bora hata angekuwa anaishi basi! Muda huu anaishi kwenye Ikulu yake nyingine isiyo rasmi ya Chato!
Sasa Ikulu ya Magogoni atamuachia nani! Si wangeweka tu mgawanyo wa kimamlaka! Dodoma ungebakia kuwa mji wa Kibunge, Dar ungebakia kuwa mji wa Kiserikali, nk.
Tumepatwa!! JK Mungu anakuona. Na hii dhambi uliyotufanyia Watanzania, itakuletea majuto ya moyoni, kwenye maisha yako yote hapa duniani.
Miradi gani? Miradi isiyo na feasibility study
na isiyoheshimu environmental impact assessment ni misuse of money. Acheni kushangilia ujinga,
Nmeamini watz ni wanafiki na mtu akiwasikiliza huwezi kuwa kiongozi kwenye nchi ya wananchi aina ya watz,Yaan jk alichokifanya itatuchukua 50 years ku recover. Kisha ndo tuanze hatua za kusonga mbele. Cjui pepo gan lilimwingia. Tz tulkia tunaenda kuzipita Kenya na Rwanda faster ila ndo ivo mzee mseven kutwa nzima kurusha vijembe kuka tz.
Mbaya zaidi anafurahia janga hili likae hata miaka miwili kama wanavyosema watabiri ili muda wa Rais uishe aonekane hakufanya kitu.Kweli inaingia akilini mtu anashangilia gonjwa la Corona linauwa watu kisa kiongozi wa nchi ashindwe kuleta maendeleo?
Mkuu huwezi jua next victim atakuwa nani, wewe, nduguyo au mimi au huyo unaye mchukia. Wewe huna exception katika kupata maambukizi ya hili gonjwa au pengine kupata madhara mabaya kabisa ya gonjwa hili.
Siasa zingine za ajabu sana na kujitoa ufahamu.
Akna nani hawa mkuu?Hawa Jamaa walitupa Furaha enzi hizoooo tukiamini wanaishi dsm! Aliewachora ktk gazeti la sani namheshimu HD leo na kesho.View attachment 1437516
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa ni mwendo wa mabalaa, mikosi, nuksi na gundu.Sisi MATEGE msituone tuko kimya, tuna mawazo sana, tulijua tungemaliza miradi mingi 2021, baada ya hapo tukaanza nyimbo za kuimba na kusifu mafaniko na kumpa send off jamaa yetu iliyojaa furaha na jina lisilosahaulika kwa wananchi.
Ng'ombe wa masikini hazai, kamekuja ka korona, biashara zimesimama,kodi hazilipwi, na sisi wakandarasi wako saiti wanasubiri hela.
Kwa kawaida wanapoondoka, hupenda kuacha alama za kukumbukwa, naona miradi ya alama inaweza isiishe,na wataalam wanasema haka ka kirusi kanaweza kurandaranda mtaani kwa miaka miwili mpaka 2022, sasa tunabakiza miaka miwili au mmoja na nusu, hapohapo tufufue uchumi,ndipo tupate hela za kumalizia miradi.
Halafu huwa inakuwaje kwamba kipindi cha pili cha uongozi huwa kanatokea ka kitu kanakomfanya aliyeshika hatamu aonekane namna gani mbele ya jamii?
Hajui value for money. Hawa ndio wnaapiga makelele kila siku eti kwa nini chadema hatuna ofisi kubwa yente gharama for what?? Kwani kuna mtu analala mule?? Chama kinajengwa kwenye mioyo ya wanamchi sio kwenye matofali na mchanga.Uko sahihi! Angalia mamilioni aliyoyatumia kujengea Ikulu yake ya kisasa Chamwino Dodoma! Kisa tu eti Rais wa Kwanza alitamani makao makuu ya nchi yawe Dodoma! For what!! Halafu bora hata angekuwa anaishi basi! Muda huu anaishi kwenye Ikulu yake nyingine isiyo rasmi ya Chato!
Sasa Ikulu ya Magogoni atamuachia nani! Si wangeweka tu mgawanyo wa kimamlaka! Dodoma ungebakia kuwa mji wa Kibunge, Dar ungebakia kuwa mji wa Kiserikali, nk.
Tumepatwa!! JK Mungu anakuona. Na hii dhambi uliyotufanyia Watanzania, itakuletea majuto ya moyoni, kwenye maisha yako yote hapa duniani.
Namuona Ndumilakuwili na Sokomoko. Je Meko yuko wapi?Hawa Jamaa walitupa Furaha enzi hizoooo tukiamini wanaishi dsm! Aliewachora ktk gazeti la sani namheshimu HD leo na kesho.View attachment 1437516
Sent using Jamii Forums mobile app
Miradi mingine aliyoacha ni kutapanya pesa na kuhonga wahuni wanaounga mkono juhudi.Jiwe kupata u-Rais ilikuwa ni ajali. Matokeo ya ujinga wa JK kumlazimishia Benard Membe awe next President badala ya hasimu wake na rafiki wa zamani Lowassa ndiyo yaliyompa huyu fursa kuwa Rais.
Wazungu husema "Fortune favours fools". Yaani bahati huwaendea wapumbavu. Jiwe ametumia U-Rais wake kukomoa maadui zake binafsi kwa kuwafukuza makazini, kuwatupa rumande kwenye kesi zisizo na ushahidi na kutumia hazina ya Serikali kufanya miradi mikubwa isiyo na tija. Yeye Ali Mradi anapata 10% yake hajali kujenga dude lolote.
Legacy atakayoacha itakuwa sawa na aliyoacha Mobutu Seseseko wa iliyokuwa Zaire.
Miradi gani? Miradi isiyo na feasibility study
na isiyoheshimu environmental impact assessment ni misuse of money. Acheni kushangilia ujinga,
Yaan jk alichokifanya itatuchukua 50 years ku recover. Kisha ndo tuanze hatua za kusonga mbele. Cjui pepo gan lilimwingia. Tz tulkia tunaenda kuzipita Kenya na Rwanda faster ila ndo ivo mzee mseven kutwa nzima kurusha vijembe kuka tz.
Jiwe kupata u-Rais ilikuwa ni ajali. Matokeo ya ujinga wa JK kumlazimishia Benard Membe awe next President badala ya hasimu wake na rafiki wa zamani Lowassa ndiyo yaliyompa huyu fursa kuwa Rais.
Wazungu husema "Fortune favours fools". Yaani bahati huwaendea wapumbavu. Jiwe ametumia U-Rais wake kukomoa maadui zake binafsi kwa kuwafukuza makazini, kuwatupa rumande kwenye kesi zisizo na ushahidi na kutumia hazina ya Serikali kufanya miradi mikubwa isiyo na tija. Yeye Ali Mradi anapata 10% yake hajali kujenga dude lolote.
Legacy atakayoacha itakuwa sawa na aliyoacha Mobutu Seseseko wa iliyokuwa Zaire.
Ya nini? Labda ya ndoa yake, lakini ya ofisi thubutu!