Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

Sisi MATEGE msituone tuko kimya, tuna mawazo sana, tulijua tungemaliza miradi mingi 2021, baada ya hapo tukaanza nyimbo za kuimba na kusifu mafaniko na kumpa send off jamaa yetu iliyojaa furaha na jina lisilosahaulika kwa wananchi.

Ng'ombe wa masikini hazai, kamekuja ka korona, biashara zimesimama,kodi hazilipwi, na sisi wakandarasi wako saiti wanasubiri hela.

Kwa kawaida wanapoondoka, hupenda kuacha alama za kukumbukwa, naona miradi ya alama inaweza isiishe,na wataalam wanasema haka ka kirusi kanaweza kurandaranda mtaani kwa miaka miwili mpaka 2022, sasa tunabakiza miaka miwili au mmoja na nusu, hapohapo tufufue uchumi,ndipo tupate hela za kumalizia miradi.

Halafu huwa inakuwaje kwamba kipindi cha pili cha uongozi huwa kanatokea ka kitu kanakomfanya aliyeshika hatamu aonekane namna gani mbele ya jamii?
Nasikia mnataka atawale maisha, kwa dhambi alizotufanyia tutapata volcano, laana kubwa zaidi ya COVID
 
Tawala na Pingamizi kwa TZ vyote ni saw a.
 
Porojo tu hizo, hujui mambo ya uchumi wewe. Unaleta hadithi za vijiweni.
Muda ndio utatupa majibu ya kweli kwa wakati bila mahaba au siasa za kishabiki za uchumi wa dunia.
Tuombe uzima tuje kukumbushana hapa baada ya miaka miwili tukifika wote salama.

Natumaini kwa uwezo wa muumba wetu na mapenzi yake kwetu tutafika tu salama.
 
Ndo maana nakuita kiazi, so your here to chase 'likes' from higher profile people? Hivi mlizaliwa kujaza ujinga duniani? Mkeo atakula likes? Kwaheri sitakujibu tena siwez kupoteza bando la bure
Kabla hujajijua kama wewe ni bumunda na kuniita mimi kiazi rudi kwenye posts zangu angalia napata likes ngapi na kwa watu wenye profile gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi MATEGE msituone tuko kimya, tuna mawazo sana, tulijua tungemaliza miradi mingi 2021, baada ya hapo tukaanza nyimbo za kuimba na kusifu mafaniko na kumpa send off jamaa yetu iliyojaa furaha na jina lisilosahaulika kwa wananchi.

Ng'ombe wa masikini hazai, kamekuja ka korona, biashara zimesimama,kodi hazilipwi, na sisi wakandarasi wako saiti wanasubiri hela.

Kwa kawaida wanapoondoka, hupenda kuacha alama za kukumbukwa, naona miradi ya alama inaweza isiishe,na wataalam wanasema haka ka kirusi kanaweza kurandaranda mtaani kwa miaka miwili mpaka 2022, sasa tunabakiza miaka miwili au mmoja na nusu, hapohapo tufufue uchumi,ndipo tupate hela za kumalizia miradi.

Halafu huwa inakuwaje kwamba kipindi cha pili cha uongozi huwa kanatokea ka kitu kanakomfanya aliyeshika hatamu aonekane namna gani mbele ya jamii?
Madaraja ya Ubungo

Mbona vitu vya kukumbukwa vingi tu,
Daraja la Tazara
Daraja la Ubungo
Bodi ya mikopo elimu ya juu kukata 15%
Kutopandisha mishahara Watumishi
Ajira kusimama kwa kiasi kikubwa.
Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nakuita kiazi, so your here to chase 'likes' from higher profile people? Hivi mlizaliwa kujaza ujinga duniani? Mkeo atakula likes? Kwaheri sitakujibu tena siwez kupoteza bando la bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunijibu kwa vile huna akili za kunijibu. Nenda makubwa ya chit chat na udaku ndiyo size yako
 
Hivi hii kweli inaingia akilini kuona mtu anashangilia ikikwama miradi ya maendeleo ambayo faida zake zingenufaisha wote akiwemo na yeye na nduguze au uzao wake, wanufaika ni wale wanao mchukia Magufuli na wanao mpenda?
Awamu hii ilibomoa misingi ya upendo, mkajenga misingi ya chuki.
Sasa mnashangaa nini!!!!
Kinyweeni kikombe hiki ninyi na vizazi vyenu.

ADUI YAKO MWOMBEE NJAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda ndio utatupa majibu ya kweli kwa wakati bila mahaba au siasa za kishabiki za uchumi wa dunia.
Tuombe uzima tuje kukumbushana hapa baada ya miaka miwili tukifika wote salama.

Natumaini kwa uwezo wa muumba wetu na mapenzi yake kwetu tutafika tu salama.
Inshallah.
 
Back
Top Bottom