Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 723
- 1,125
Hilo halihitaji hata elimu ya darasa la saba kulitambua.....Hapa dawa ni kusoma upepo maisha yaendeleeUna maanisha kuwa maendeleo yanapatikana kwa upendeleo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halihitaji hata elimu ya darasa la saba kulitambua.....Hapa dawa ni kusoma upepo maisha yaendeleeUna maanisha kuwa maendeleo yanapatikana kwa upendeleo?
CCM ilichokwa 2015.....kuna unafuu wowote 2020? Jibu ndio imechokwa kabisa kuliko 2015 na kama CCM itashinda jimbo lolote la upinzani basi itakuwa imetumika nguvu ya polisi na sio sera au unafuu wowote.Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
Hahhaa nimeona upo Dodoma unafutailia mwanafunzi wa CHASO Mara unaniambia upo kenyaNipo hapa koinange
hakika shemeji malafyale!Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Mwambie huyu mchuna ngoziKutenda haki, msingekuwa mnachunana ngozi, MPUMBAVU we!
Mwakani sio mbali mkuu yetu macho.CCM ilichokwa 2015.....kuna unafuu wowote 2020? Jibu ndio imechokwa kabisa kuliko 2015 na kama CCM itashinda jimbo lolote la upinzani basi itakuwa imetumika nguvu ya polisi na sio sera au unafuu wowote.
Kwa akili ya kawaida tu isiyohitaji degree 4 hakuna raia wa Mbeya anaweza mshabiķia Tulia zaid ya wafuasi wanaonufaika na hongo zake.
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Haki gani mnaizungumzia ninyi??? Haki, haki, haki, haki, haki...unajua na kufahamu haki ni nini???!! Tulieni tu huyo Tulia mnaye mpende msipende ndiye mbunge wenu 2020-2025..Usianze kuleta propaganda za eti wanambeya hamtaki...wapi mlikutana na kuja na azimio hilo...mlipiga kura wapi na lini za kumkataa huyo Tulia???!!!
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
Bila shaka utakuwa umechunwa nyuma wewe!Kutenda haki, msingekuwa mnachunana ngozi, MPUMBAVU we!
Mkuu umewahi kuishi Kenya
Acha kudanganywa kuwa Kenya wako juu
Kenya wananchi wanamaisha magumu kutoka na Sera zao za kibepari
Ila wakiwa majukwaani utahisi ni wasitaarabu kweli
Mimi ukishakua ccm ,kura yangu isahau.
Huyu mama atapitishwa kwa hila ila kwenye box Sugu ataongoza. Yule RC wa pale ataongoza jahazi.
Ili Jimbo la Mbeya mjini ni very strategically kwake kisiasa so wata force, nafasi ya speaker inamsubiri........... And
Who knows!!? pengine akawa ni waziri mkuu wa kwanza mwanamke,maana jiwe kwa sifa.
Unajua binadamu tumeaminishwa kwenye TV wanako onyesha maeneo mazuri tuasione viongozi wamepiga tai majukwaani akifikiri wakenya wana maisha tofauti na wabongo...mpe pole yake
Uchumi ni nini mkuuMkuu utakuwa unafanya masihara kama utalinganisha... UCHUMI... wa Kenya na wa Tanzania