Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
CCM ilichokwa 2015.....kuna unafuu wowote 2020? Jibu ndio imechokwa kabisa kuliko 2015 na kama CCM itashinda jimbo lolote la upinzani basi itakuwa imetumika nguvu ya polisi na sio sera au unafuu wowote.
Kwa akili ya kawaida tu isiyohitaji degree 4 hakuna raia wa Mbeya anaweza mshabiķia Tulia zaid ya wafuasi wanaonufaika na hongo zake.
 
Mwakani sio mbali mkuu yetu macho.
 
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080

Haki gani mnaizungumzia ninyi??? Haki, haki, haki, haki, haki...unajua na kufahamu haki ni nini???!! Tulieni tu huyo Tulia mnaye mpende msipende ndiye mbunge wenu 2020-2025..Usianze kuleta propaganda za eti wanambeya hamtaki...wapi mlikutana na kuja na azimio hilo...mlipiga kura wapi na lini za kumkataa huyo Tulia???!!!
 
... SISI WANA MBEYA HATUMTAKI HUYO.. labda kama una lingine

Haki gani mnaizungumzia ninyi??? Haki, haki, haki, haki, haki...unajua na kufahamu haki ni nini???!! Tulieni tu huyo Tulia mnaye mpende msipende ndiye mbunge wenu 2020-2025..Usianze kuleta propaganda za eti wanambeya hamtaki...wapi mlikutana na kuja na azimio hilo...mlipiga kura wapi na lini za kumkataa huyo Tulia???!!!
 
kwa hiyo ccm itapitisha wote wawili kugombea..?
2020 sugu atashinda kwasababu ya ushindani wa wana sisiem wenyewe hawapendani maana Marry Mwanjelwa ndio mwenye jimbo kwa maana yeye ndio mwenye asili ya hili jimbo yule dada asili yake ni Rungwe je Sister anataka na Marry aende wapi?
 
Mimi ukishakua ccm ,kura yangu isahau.
Huyu mama atapitishwa kwa hila ila kwenye box Sugu ataongoza. Yule RC wa pale ataongoza jahazi.
Ili Jimbo la Mbeya mjini ni very strategically kwake kisiasa so wata force, nafasi ya speaker inamsubiri........... And
Who knows!!? pengine akawa ni waziri mkuu wa kwanza mwanamke,maana jiwe kwa sifa.
 
Duuu pm? Kwa sifa zipi haswa?

Mkuu utakuwa unafanya masihara kama utalinganisha... UCHUMI... wa Kenya na wa Tanzania
asione viongozi wamepiga tai majukwaani akifikiri wakenya wana maisha tofauti na wabongo...mpe pole yake
 
Mkuu utakuwa unafanya masihara kama utalinganisha... UCHUMI... wa Kenya na wa Tanzania
Uchumi ni nini mkuu

Uchumi wa Tanzania uko vizur ila wananchi wana hali mbaya

Hata Kenya iko vizur ila wananchi wana hali mbaya mno
 
Back
Top Bottom