Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida.
Lakini kila wakitaka kutest mitambo ya siasa zao za vurugu wanakuja Mbeya.
Mbeya kwa kipindi cha Sugu 2010-20 pamekuwa ni mahali pa migomo ya biashara na kukosa maendeleo.
Wana Mbeya sasa hivi jiji lenu limeteremka hadhi kabisa kwa sababu wamegundua kuwa kuna WAJINGA wengi. Ukiwaambia maandamano wanakuja.
Jiulize kwa nini wasipeleke Moshi? Wanajuwa Moshi watu ni wajanja hawatakubali kuacha kazi zao na kwenda kuunga mkono upuuzi.