Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro.

Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida.

Lakini kila wakitaka kutest mitambo ya siasa zao za vurugu wanakuja Mbeya.

Mbeya kwa kipindi cha Sugu 2010-20 pamekuwa ni mahali pa migomo ya biashara na kukosa maendeleo.

Wana Mbeya sasa hivi jiji lenu limeteremka hadhi kabisa kwa sababu wamegundua kuwa kuna WAJINGA wengi. Ukiwaambia maandamano wanakuja.

Jiulize kwa nini wasipeleke Moshi? Wanajuwa Moshi watu ni wajanja hawatakubali kuacha kazi zao na kwenda kuunga mkono upuuzi.
Msemaji mrema kutoka moshi
 
CCM inajiharibia mwenyewe
 
Attachments

  • image0_0.jpg
    image0_0.jpg
    93 KB · Views: 0
Na aliyewaambia mliite jiji ni nani? Walikuja kuwaomba!! Waondoe hiyo hadhi wapeleke sehemu nyingine kwa walio tayari kuwalamba miguu.
Ndiyo akili hiyo ya wavuta bangi waliojaa Mbeya
 
Watu wa Mbeya ni MAZEZETA na hili Mbowe analijua.

Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.

Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.

Mwenye akili kajenga nyumba hii kwao Machame mara alipotoka Segerea baada ya kuonana na Rais mwaka 2021
View attachment 3072294
Endeleeni tu kumsindikiza wakati anazindua mali zake huko Machame kama alivyosindokizwa hapa.
View attachment 3072297

Huku nyinyi watu wa Mbeya mkisifiwa kuwa mna MSIMAMO mkali dhidi ya Serikali na kukubali kuwa uwanja wa maandamano
Acha roho ya uchonganishi wee mtoto, wadanganye wajinga wenzako, kina Mbowe ni matajiri tangu kabla ya uhuru, hata mburula wenzio çcm wanalijua hilo jinsi baba yake alivyoifadhili Tanu enzi hizo za harakati za uhuru. Baba yake nyakati hizo ndio watanzania wa mwanzoni kumiliki benzi. Utalinganisha na majizi ya wazi ya ccm yaliyojaa kila kona. Unafikiri ni fukara kama wewe na ukoo wako!!
 
Usi

Usiniiite mtoto. Mimi ni mstaafu naweza kuwa baba yako kiumri. Hiyo unayosema utajiri wa Mbowe ni historia. Mpaka anakaribia kufa alikwishaanza kufilisika. Ninamjua Mbowe kuliko wewe unayesimuliwa
 
Pole,japo unachoandika hakiakisi umri wako.
 
Back
Top Bottom