Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #161
Nani alikuambia CHADEMA ni ya Watanzania? CHADEMA ni mali ya Familia ya Mtei na mkwewe Freeman Mbowe. Nyie wengine ni wasindikizaji tu au kwa kiingereza cheerleadersMaandamano yalifanyika Dar,Mwanza,Serengeti,Arusha na Mbeya. Nimetaja Wanyakyusa kwa vile ndiyo Kabila kubwa Mbeya kwa vile nawe ulivyotaja Moshi umetaja Wachaga. Chadema ni ya Watanzania ndiyo maana inaungwa mkono sana kanda ya Nyasa na Serengeti.
Mbowe ni Mwenyekiti wa chama toka 2003 wakati wa Mkapa. Na kila aliyethubu kugombea alionja sumu kwa kidole.