Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Maandamano yalifanyika Dar,Mwanza,Serengeti,Arusha na Mbeya. Nimetaja Wanyakyusa kwa vile ndiyo Kabila kubwa Mbeya kwa vile nawe ulivyotaja Moshi umetaja Wachaga. Chadema ni ya Watanzania ndiyo maana inaungwa mkono sana kanda ya Nyasa na Serengeti.
Nani alikuambia CHADEMA ni ya Watanzania? CHADEMA ni mali ya Familia ya Mtei na mkwewe Freeman Mbowe. Nyie wengine ni wasindikizaji tu au kwa kiingereza cheerleaders

Mbowe ni Mwenyekiti wa chama toka 2003 wakati wa Mkapa. Na kila aliyethubu kugombea alionja sumu kwa kidole.
 
Basi elewa Mbeya itajengwa na wazawa na wasiyo wazawa. Hata Dar es Salaam haikujengwa na Wazaramo peke yao bali na watu kutoka kila sehemu ya Tanzania wakiwepo wa kutoka Mbeya. Kama unawaona watu wa Mbeya ni wapumbavu na wao wanakuona wewe pia ni mpumbavu wangekuona wa maana ungekwenda kuomba uongozi ili uwaongoze maana kuongoza ni kuonyesha njia lakini ukiwatukana mitandaoni wanakuona kichaa tu.
Mimi Mbeya ni kwetu, nina vitege uchumi pia. Uongozi wangu ndiyo kama hivi ninachofanya hapa. Nawafungua macho kwamba MNAPITWA MAENDELEO na mikoa mingine kwa sababu mnaendekeza siasa za mivutano na Serikali.

Wa kuelewa wanaelewa, wasiolewa wagumu kama wewe nao wapo pia.
 
Mimi mwenyewe ni mzaliwa wa Mbeya na pia ni historia. Huna cha kumiambia Drifter .

Angalia mikoa ya Miji ya Iringa, Morogoro, ambayo wala siyo Majiji inavyopendeza kwa mpangilio na majengo. Mbeya pamoja na uchumi mkubwa nankuitwa Jiji hapana mvuto.

Sasa hivi hata mkoa wa Njombe ambao umeanza miaka 15 iliyopita utakuja kuipiku Mbeya.

Sifa za kusema Mbeya ndiyo nyumbani kwa upinzani zinawaongezea nini?

Yaani kweli mlimpa Sugu Form IV Failure kura vipindi 2 kuanzia 2010-20, hivi mlikuwa MNAJITAMBUA kweli? Au MLIROGWA

Sasa anawaletea maandamano ili mumchague tena mwaka 2025. Nyambaaaaaf kabisa nyie
Sawa.
 
Huo ndiyo upumbavu ambao leo nimeamua niwakumbushe ili wasirudie makosa hayo. Yaani kweli Mbeya ndiyo ya kuwakilishwa ma mvuta bangi, mvaa kata kundu na mtu ambaye alifeli Dorm IV?? What do we gain?
Mbeya hapo walifeli sana,na huyo Sugu na CHADEMA.wameshaona kabisa kuwa Tulia hawatamuweza ndiyo maana wameamua Kwa Sasa walete Drama kama hizo za maandamano na kadhalika...

Siasa za hovyo kama hizo zimeshapitwa na wakati.
 
If you do not know where you are going any path, (road), will take you there, watu wa mbeya siyo Mazezeta
Watu wa Mbeya ni MAZEZETA na hili Mbowe analijua.

Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.

Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.

Mwenye akili kajenga nyumba hii kwao Machame mara alipotoka Segerea baada ya kuonana na Rais mwaka 2021
Screenshot_20240817_104424_Google.jpg

Endeleeni tu kumsindikiza wakati anazindua mali zake huko Machame kama alivyosindokizwa hapa.
Screenshot_20240817_104506_Gallery.jpg


Huku nyinyi watu wa Mbeya mkisifiwa kuwa mna MSIMAMO mkali dhidi ya Serikali na kukubali kuwa uwanja wa maandamano
 
Kumbe tumefanywa machawa na MTAJI wa maCCM,POLISI nao machawa,watumishi nao machawa,wengine panyaroad na wadudu,kweli CCM kidumu KUUZA mbuga za wanyamapoeo na bandari,machawa ubongo WENU rehani halafu mnao wivu Mbeya walivyojielewa.Sikia hiyo siyo Dodoma kwa Matonya OMBAOMBA gawa chumvi na tshirts.
 
Kumbe tumefanywa machawa na MTAJI wa maCCM,POLISI nao machawa,watumishi nao machawa,wengine panyaroad na wadudu,kweli CCM kidumu KUUZA mbuga za wanyamapoeo na bandari,machawa ubongo WENU rehani halafu mnao wivu Mbeya walivyojielewa.Sikia hiyo siyo Dodoma kwa Matonya OMBAOMBA gawa chumvi na tshirts.
Mngekuwa mnajielewa msingeishi kwenye kijiji kikubwa kilicho jaa nyumba za udongo na barabara moja ya lami.
 
Mbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?
Wewe jamaa kukutukana tumechoka bhana. Nawaonea huruma watoto wako saiz
 
Wamejua Mbeya ina wajinga wengi ndiyo maana hata Mwabukusi na Mdude na Slaa walianzisha maandamano ya bandari/ DP WORLD huko huko.

Wachaga hawakubali kuburuzwa, wako busy wanafukuzia noti/ hela
Wewe ni mundali au mfipa au mzaramo
 
Mbeya bado manyumbu ngoja kwanza wagonganishwe kama misukuli..watakuja kusanuka ila ni baadaye kidogo...chedema huku kaskazini watu wameshawastukia..ni kampuni iliyovaa koti la chama cha siasa....ina ukabila hapa Arusha kama wewe sio mchagga hauteuliiwa kugombea udiwani na nafasi nyeti za uongozi wakati hspa kuna makabila mengi kama Waarusha,wameru,wamasai,wasomali,warangi n.k
Acha ujinga wewe.ndo maana mkaletewa mjinga mwenzenu makonda
 
Huu ujinga ndio walikuwa wanafanya kule Arusha kina Mbowe na Lema.

Hawa watu Wana Mikoa Yao Kwa nini hawaendi huko?

Mkuu umewaza kama Mimi,Toka juzi nilitaka niandike hii Makala ila nikasubiria tension zao ziishe.

Mbeya ifike mahala ikatae ujinga ,ichague maendeleo,Mkoa wenyewe umetengwa Toka kitambo walau saizi awamu ya Samia umekumbukwa ila wanataka wageuze Mkoa wa sera za vurugu.

Hii haikubaliki kama wao ni makonki si washawishi watu wa Mikoa Yao? Nyumbani umeshindwa ila unaenda kufanya vurugu Kwa wengine,Mbeya acheni kuwa wajinga.
Mjinga ni wewe na ukoo wako,mbeya tunajitambua ndo mana tunapigania haki
 
😄 🤣 😂 😆 😄 masisiemu mtapata laana wapuusi nyie.
Edwin Mtei ni mmachame na Arusha ni makazi
Mbowe ni mmachame makazi dar es salaam
Tundu lisu mnyaturu makazi dar
Mnyika msukuma makazi Dar
Joseph mbilinyi ni mkinga makazi mbeya acheni propaganda na upotoshaji tafuteni hoja kwanin jiwe alikuwa anajenga kijijini kwake kama mobutu?
 
Mkuu Stuxnet heshima kwako. Ishambulie CHADEMA, Mbowe na viongozi wake wote wanaokukera kwa mengine. Hii ya Mbeya iache.

Kule ni stronghold ya upinzani kwa ujumla kwa muda mrefu. Sio CHADEMA tu; hata ndani ya CCM yenyewe. Wale sio mazuzu wa kupelekeshwa na mwanasiasa yeyote yule. Wanajisimamia. CHADEMA wame-capitalise tu kwenye hiyo fursa. Fuatilia historia.
Mwambie huyo mtoto,mwenye tabia za kimalaya Malaya. Eti Mbeya haiendelei kwa sababu ya upinzani!! Watu wa Mbeya hawajazoea kujipendekeza na kuwa wanyonge kisa wapewe maendeleo ambayo ni haki yao kama watanzania. Ni bora uyapeleke kwingine kwa wanafiki.
 
Saizi Kila kitu Dodoma imeacha Mbeya .

Mbeya ndio Jiji la hovyo kuliko yote kiasi ya kulinganisha na Vijiji kama Kahama.

Badala ya ku focus kwenye maendeleo watu wako busy na mambo ya kipuuzi ya kina Lisu na kundi lao.
Na aliyewaambia mliite jiji ni nani? Walikuja kuwaomba!! Waondoe hiyo hadhi wapeleke sehemu nyingine kwa walio tayari kuwalamba miguu.
 
Back
Top Bottom