Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Msemaji mrema kutoka moshi
 
CCM inajiharibia mwenyewe
 
Attachments

  • image0_0.jpg
    93 KB · Views: 0
Na aliyewaambia mliite jiji ni nani? Walikuja kuwaomba!! Waondoe hiyo hadhi wapeleke sehemu nyingine kwa walio tayari kuwalamba miguu.
Ndiyo akili hiyo ya wavuta bangi waliojaa Mbeya
 
Acha roho ya uchonganishi wee mtoto, wadanganye wajinga wenzako, kina Mbowe ni matajiri tangu kabla ya uhuru, hata mburula wenzio çcm wanalijua hilo jinsi baba yake alivyoifadhili Tanu enzi hizo za harakati za uhuru. Baba yake nyakati hizo ndio watanzania wa mwanzoni kumiliki benzi. Utalinganisha na majizi ya wazi ya ccm yaliyojaa kila kona. Unafikiri ni fukara kama wewe na ukoo wako!!
 
Usi
Usiniiite mtoto. Mimi ni mstaafu naweza kuwa baba yako kiumri. Hiyo unayosema utajiri wa Mbowe ni historia. Mpaka anakaribia kufa alikwishaanza kufilisika. Ninamjua Mbowe kuliko wewe unayesimuliwa
 
Usi

Usiniiite mtoto. Mimi ni mstaafu naweza kuwa baba yako kiumri. Hiyo unayosema utajiri wa Mbowe ni historia. Mpaka anakaribia kufa alikwishaanza kufilisika. Ninamjua Mbowe kuliko wewe unayesimuliwa
Pole,japo unachoandika hakiakisi umri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…