Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao


..John Mnyika ni Msukuma na kongamano la vijana la Chadema la kwanza lilifanyika Mwanza.
 
..Mbona Samia anauza mali za Tanganyika lakini za Zanzibar hauzi?

..Mbona Samia anafukuza Wamaasai akidai ardhi ya Ngorongoro ni ndogo, lakini hafukuzi Wazanzibari wakati nao ardhi yao ni ndogo?
Kwani wewe ni wa Mbeya? Kama hutoki Mbeya HAIKUHUSU
 
Muulize baba yako Vizuri kuhusu Mbeya,

Mkapa aliacha kukanyaga mbeya,Kikwete msafara wake ulipigwa mawe Mbeya hakurudi tenaaa

Upinzani ulianzia Mbeya dogo
Upinzani wa KINDEZI?? Unampiga mawe msafara wa Rais?? Halafu mnaona Sifa??

Ndiyo maana Mbeya imebaki kuwa ni Kijiji Kikubwa tu
 
Huu ujinga ndio walikuwa wanafanya kule Arusha kina Mbowe na Lema.

Hawa watu Wana Mikoa Yao Kwa nini hawaendi huko?

Mkuu umewaza kama Mimi,Toka juzi nilitaka niandike hii Makala ila nikasubiria tension zao ziishe.

Mbeya ifike mahala ikatae ujinga ,ichague maendeleo,Mkoa wenyewe umetengwa Toka kitambo walau saizi awamu ya Samia umekumbukwa ila wanataka wageuze Mkoa wa sera za vurugu.

Hii haikubaliki kama wao ni makonki si washawishi watu wa Mikoa Yao? Nyumbani umeshindwa ila unaenda kufanya vurugu Kwa wengine,Mbeya acheni kuwa wajinga.
 
Kwani wewe ni wa Mbeya? Kama hutoki Mbeya HAIKUHUSU

..kwani waliofanya fujo ni Polisi, au Chadema?

..labda ungemuuliza Samia kwanini anawafanyia fujo Wanambeya?

..mbona Bazecha ilipofanyika kongamano Zanzibar Samia hakutuma polisi?

..mbona ACT wamefanya kongamano Zanzibar Samia hakutuma Polisi?

..Kwanini Watanganyika awamu hii tunapigwa na Polisi, lakini Wazanzibari hawapigwi?
 
Upinzani wa KINDEZI?? Unampiga mawe msafara wa Rais?? Halafu mnaona Sifa??

Ndiyo maana Mbeya imebaki kuwa ni Kijiji Kikubwa tu
Wewe kweni wapi?usitufundishe naMna ya kuishi na rais wa nchi na siasa zetu.

Yule dogo ametekwa mpaka leo, bado mnataka tuwe wastaarabu?
Sisi hatucheki na kima
Huku Mwabukusi,Kule mdude,Kati Sugu Pembeni Twaha Mwaipaja😂😂

Wee lazimanuogope waisa sio mchezo.
 
Mbwa wewe
 
Mbeya Iko Tanzania au Zambia? Acha ubaguzi
 
Hii ingefaa huko fesibuku labda, humu watakao kuunga mkono hawatazidi kumi, labda mje kwa multiple ID’s.

Kuna muda mnapokea malipo bure tu, hamjui hata sehemu sahihi ya kufanyia propaganda.
 
Na wakala wa kuwaleta Mbeya ni Sugu. Nashukuru Sugu amepata kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Polisi. Na huo ni ujumbe tosha kuwa Wana Mbeya hawataki vurugu. Wanataka utulivu
 
Kaa pembeni waachie wana Mbeya wenyewe. CHADEMA chini ya Sugu imepageuza Mbeya kuwa mahali pa HOYA MSELA HOYA!!
 
Mnajivunia vichaa?? Hebu oneni aibu!! Hivi unajsikiaje kutoka mkoa mmoja na Mdude_Nyagali au Sugu. Takataka tupu.
 
Mbeya Iko Tanzania au Zambia? Acha ubaguzi
Jibu swali kwa nini haya maandamano Mbowe asiyaanzishie Moshi? Nyie wana Mbeya mnaonekana MBURURA na Wachagga wanaonekana WAJANJA
 
kwanza unatakiwa kuelewa Mbeya wanajitambua sana na wanaujasili hivi ndio vinawafanya kuona mby ni chaguo la cdm siyo unavyodhani kwanza unatakiwa kuangalia historia ya mby kwenye siasa wananchi wa mby wanapenda uadilifu siyo janjajanja Mbeya yetu tuachie wenyewe tunajitambua na wanambea wamekwenda shule ,Kwa hiyo hizo porojo zako peleka huko huko usitake kuwazingua wanambea wanajua ugumu wa maisha wanayopitia.
 
Hii ingefaa huko fesibuku labda, humu watakao kuunga mkono hawatazidi kumi, labda mje kwa multiple ID’s.

Kuna muda mnapokea malipo bure tu, hamjui hata sehemu sahihi ya kufanyia propaganda.
Mbona na wewe wa Facebook binti kiziwi umekuja huku!! Na wewe una multiple IDs?
 
Yaani kujenga HOVYO nyumba za matope mjini ndiyo kujitambua?? Kujaza mabajaj barabarani mpaka kudababisha foleni ndiyo kujitambua?? Jiji limekuwa KIJIJI kikubwa ndiyo mnaona ndiyo upinzani. Nyambaàaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…