Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Kabla ya kuwatukana wana Mbeya kama ambavyo umefanya hapa, hebu jiulize kwanza maswali haya.

Hiyo serikali yako imefanya nini mkoa wa Mbeya?

Pamoja na mapato yote yanayopatikana je Mbeya inastahili hali iliyonayo sasa?

Ameingia madarakani mtu wao zaidi ya zile Marathon na mikopo yake kafanya nini?

Wakasema wanajenga barabara kutoka Nsalaga mpaka Songwe mkataba wakaingia toka mwaka jana mwezi wa 3 mpaka juzijuzi ndio wameanza kujishughulisha na hiyo barabara napo kwa mwendo wa kusua sua.

Mnyonge mnyongeni wapeni haki yao wana Mbeya. Pengine hao Chedema ndio wanawasikiliza zaidi kuliko hiyo serikali yako.

Mkielimika mjifunze na madhara ya uchawa
 
Unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao na tumefika hapa tulipo kwasababu yenu
 
Swali langu hujajibu. Kwanini Mbowe na sugu wameamua Mbeya ndiyo mahali pa kufanyia majaribio ya siasa za vurugu?

Nyinyi mnajazwa UJINGA na mnakubali KUJAA.

Mbowe anajua madhara ya maandamano na siasa za taharuki ndoyo maana hapeleki Hai au Moshi
 
Unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao na tumefika hapa tulipo kwasababu yenu
Benny Haraba nitajie kwanza mkoa wako ndiyo twende sambamba.
 
Mkuu Stuxnet heshima kwako. Ishambulie CHADEMA, Mbowe na viongozi wake wote wanaokukera kwa mengine. Hii ya Mbeya iache.

Kule ni stronghold ya upinzani kwa ujumla kwa muda mrefu. Sio CHADEMA tu; hata ndani ya CCM yenyewe. Wale sio mazuzu wa kupelekeshwa na mwanasiasa yeyote yule. Wanajisimamia. CHADEMA wame-capitalise tu kwenye hiyo fursa. Fuatilia historia.
 
Nyie subirini 2025 tuwanyoe mwisho wenu umefika
Nitajie kwanza wewe unatoka mkoa gani? Siyo unajifanya fundi wa kuandika sentensi za uwana harakati huku mnatuharibia Jiji letu la Mbeya.

Kwanini msifanye kwenu Hai, Singida au Moshi?
 
Mimi mwenyewe ni mzaliwa wa Mbeya na pia ni historia. Huna cha kumiambia Drifter .

Angalia mikoa ya Miji ya Iringa, Morogoro, ambayo wala siyo Majiji inavyopendeza kwa mpangilio na majengo. Mbeya pamoja na uchumi mkubwa nankuitwa Jiji hapana mvuto.

Sasa hivi hata mkoa wa Njombe ambao umeanza miaka 15 iliyopita utakuja kuipiku Mbeya.

Sifa za kusema Mbeya ndiyo nyumbani kwa upinzani zinawaongezea nini?

Yaani kweli mlimpa Sugu Form IV Failure kura vipindi 2 kuanzia 2010-20, hivi mlikuwa MNAJITAMBUA kweli? Au MLIROGWA

Sasa anawaletea maandamano ili mumchague tena mwaka 2025. Nyambaaaaaf kabisa nyie
 
Nitajie kwanza wewe unatoka mkoa gani? Siyo unajifanya fundi wa kuandika sentensi za uwana harakati huku mnatuharibia Jiji letu la Mbeya.

Kwanini msifanye kwenu Hai, Singida au Moshi?
Kila mtu una muuliza anatoka mkoa gani duu
 
CCM na wagogo , CHADEMA na wanyakyusa....Hao ndio hawana kazi mpaka kuandamana.
 
Naona umeanza kupata akili
 
Kila mtu una muuliza anatoka mkoa gani duu
Lazima niulize kwa vile mimi ni mwenyeji wa Mbeya. Naona watu wameanzisha vyama vya siasa lakini kwenye mikoa yao havifanyi siasa chafu kama zvinavyofanya Mbeya. Kwa nini mtuharibie Mbeya yetu?.

Halafu unakuta hata wakigawa viti maalum (Wanawake) hukuti mbunge wa kutoka Mbeya. Kwa mfano mwaka 2010 na 2015 wabunge wa viti maalum walikuwa ni mahawara wa Freeman Mbowe (Joyce Mukya), dada wa Lissu (Christina Lissu), binti wa Ndesamburo, mke wa Komu, mkwe wa Ndesamburo (Kiwelu).

Sasa Mbeya yanatumika tu lama MAZOMBIE na ubunge na fedha wanafaidi wachaga

ChoiceVariable
 
Huu upumbavu wa kutumika watu wa Mbeya waukatae unadumaza maendeleo yetu.

Naunga mkono hoja,waende kwenye Mikoa Yao wakafanye vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…