Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

Your life your choices... i believe everyone ana right and reason ya ku-make certain choices in life and since umeshasema wabongo wengi hii sio culture yetu sidhani kama wengi watakuelewa henceforth be you bro!!!! Whatever makes you happy!!!!
 
Ulichokisema wewe ni kwamba wale wenzetu kwao kuna huduma za wazee zinatolewa sehemu/nyumba maalumu.

Na mie ndo nikakuuliza ina maana wewe ulizaa kwa lengo hilo ?

Upate huduma za uzeeni ?

Nakuja kukudadavulia vizuri tofauti yetu na wao katika muktadha wa kijamii na kiuchumi.

Na katika jamii zetu, yes, hiyo ni sababu mojawapo hata kama mtu una pesa zako. Hakuna kitu kinacholeta amani na tulizo kama mtu mzima kutembelewa na wanawe na kucheza na wajukuu.
 
Ok hata jesus alikua ananena kwa mifano na alikua akitoa maana ya mifano . Socrates uneyemtaja alikua ni mwana falsafa . Sasa ndugu yangu sisi hatutaki falsafa tunataka utoe hoja then tuinadili mambo yakupimana falsafa hapa so darasani . Toa unachokijua watu waongezee mkuu . Acha kuuliza maswali yasio na msingi
 
Kiukweli sijawahi kuhisi uhitaji wa mtoto. Ila nahisi uhitaji wa mke.
 
Kuna watu wamepata presha kwa sababu ya watoto hao hao. Usisahau hilo kaka
 
Tafuta mtoto mkuu ili uendelezee uko/familia yenu.

Kama wazazi wako wangekuwa na mawazo kama yako unafikiri ungekuwepo?
 
mzeeya ata mie nimepata tabu sana. Kwa kweli mie watoto hapana nataka tuu niwe nagegeda kwa raha zangu na tuna talii tuu dunia.
 
Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!

Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
 
Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!

Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
...🙄🙄🙄...Ukikua utaacha kuwaza hivi.
 
Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!

Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
Wewe ishu yako ni tofauti na inayojadiliwa hapa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!

Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
Dah! Mkuu hata kugegedwa kwa bahati mbaya bado ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…