Asante kwa ushauri. Vipi kama mtoto wangu akishindwa ku-generate kwa sababu mbali mbali zinazo na zisizoepukika. Huo ukoo utakuwa umeendelea au laa ?Tafuta mtoto mkuu ili uendelezee uko/familia yenu.
Kama wazazi wako wangekuwa na mawazo kama yako unafikiri ungekuwepo?
Mie mwenyewe nataka mke wa kula nae raha tu ila watoto daaah!. Hebu nipe mbinu ulimpataje huyo mwanamke aliekubali kutozaa kaka ?mzeeya ata mie nimepata tabu sana. Kwa kweli mie watoto hapana nataka tuu niwe nagegeda kwa raha zangu na tuna talii tuu dunia.
Mkuu unamaana gani hapaaamaoni yangu ni hivi. Akili yako haikutoshi kama una mdogo wako azima.....bila shaka nimeeleweka
Ewaaa!!! Wewe umenielewa!wanagongesha vikojoleo tu
Ewaaa! Nakutana na team NO children wenzangu. Tutaunda chama chetu ili tutambulike.Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!
Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
Kaka nina 29 sijawahi tamani ndo ntatamani huko mbele ya safari ?Dah one day utatamani tu
Kuna faida gani ya kuwa na mtoto kama atakua mtu mzima na kukuasi ? Yaani kuasi mafunzo yote uliyompa na kuishi hovyo ?Usimakinikie vighairi (exceptions) sasa. Hilo ni sawa na kusema kuna watu wameanguka na ndege na hivyo ndege (zote) ni hatari. Huwezi kufanya majumuisho (generalizations) kwa kuangalia vighairi....
Washaanza kunihisi nna matatizo. Sijui kwanini Afrika kuna vitu tumeviweka vya lazima.Ngoja madokta waje watakwambia unashida kwenye uzazi (Mgumba). Jamii za kiAfrica bado sana wanataka kila mtu aishi wanavyotaka wao na si unavyotaka wewe.
Ewaaaah!! Kwani watoto lazima boss ?Asante mkuu mawazo yako ni kama ya kwangu...
Kaka nina 29 sasa hivi. Kwa umri huo wenzangu wote wana watoto hata kama kuna baadhi hawajaoa. Any way what i mean is how will i need children later on if don't need them at this fairly older ageShida ipo kwenye umri ulionao sasa,
ntaifufua hii thread 2025 nione misimamo yako,
na ndoto zako zilikua kweli au nawewe shetani atakupitia.
Mi huwa nawaza labda mtoto anaweza kuwa chanzo cha huzuni hapo mbele maana nikitizama mabinti/vijana wengine hapa mtaani roho inaniuma kwa jinsi walivyo rude.Una wazo zuri sababu wewe Fikiri tu mateso na furaha ulivyopitia hapa duniani eti na mwanao aje huku! Sio sawa
Hili jambo nilikuja kulifikia baada ya kupata mtoto
Fanya yako mkuu usizikilize watu wanasema nini au wapoje.Mi huwa nawaza labda mtoto anaweza kuwa chanzo cha huzuni hapo mbele maana nikitizama mabinti/vijana wengine hapa mtaani roho inaniuma kwa jinsi walivyo rude.
@Zoë, uko serious?Kwangu mimi binafsi achilia mbali suala la kutotaka mtoto tu, bali hata hiyo ndoa yenyewe siitaki!
Sina mpango wa kuzaa kuolewa wala kushiriki tendo la ndoa maisha yangu yote, just single till i die!
Nieleze mimi tafadhali, niko so curious kujua..after all, you're my daughter [emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli mkuu kila mtu na sababu zake! Mimi nina sababu zangu lakini sababu hizo siwezi kuziweka hapa maana naweza nisieleweke ila sababu hizo wala siyo za kiafya!
Asante sana boss kwa kunielewa na kunishauriIt's absolutely normal mkuu, wala isikupe shida kama kweli kwa hiari ya moyo wako hupendi kuwa na watoto lakini unatamani kuwa na mwenza.
Muhimu ni kutafuta mtu mwenye interest sawa na yako, mkubaliane kabisa kabla ya kuingia ndoani, then oaeni muishi hivyo. Ni heri kufanya hivyo kuliko kuleta watoto then usiwape maisha wanayostahili.
Wengi tunadhani ndoa equals watoto, ndio maana familia nyingi zinaingia migogoro kama mtoto hapatikani.
Kwani hata mwanamke ntakaemuoa si ntawajibika kumtunza pia ? Chakula, mavazi, gharama za urembo.Hali hii inasababishwa na ubinafsi wa hali ya juu.ata hilo la watu wa west kutokupenda watt sio kweli bali huzaa watoto wache.mmoja au wawili.mwombe Mungu akuondolee roho hii ya ubinafsi(unahisi ukiwa na watt utawajibika kuwatunza na huisi kama uko tayari kufanya jambo hilo)
Habari zenu wana-MMU.
Nataka maoni yenu katika hili swala.
Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa.
Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na marekani unakuta kuna familia/ndoa za namna hii nyingi sana lakini sio hapa Afrika.
Hapa nyumbani(Tanzania) formula ni Ndoa = Watoto.
Ili ndoa ionekane imefanikiwa basi iwe na watoto japo mimi binafsi siamini hivyo.
Katika maamuzi hayo yawezekana ntakumbana na changamoto nyingi, lakini Kubwa ni Kupata mwanamke ambae atakubali kuwa ndani ya ndoa bila mtoto.
Wana MMU nipeni maoni yenu kuhusu hili swala kwa sababu sijiskii KABISA kuwa nina deni la kuwa na mtoto, sina tatizo lolote kiafya la kunizuia kuwa na mtoto ila SITAKI TU.
1. Mna maoni gani ?
2. Je kuna msichana ambae anataka kuolewa lakini hana mpango wa kuzaa ?(kama baadhi ya wanawake wa ulaya/marekani)
Asanteni, mchana mwema.