Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Mpeleke hospital
Akitoka njoo nikupe kakitu ka kuoshea uke unanukia vizuuuuuri
 
Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.

Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha, Moro au kwingineko anakuja tuna spend night bila kikwazo chochote.
Huyu mchepuko wangu anajistahi na ni mpole hana makeke ya ubishoo mitaani.
Na ni mzuri, mzuri haswa.

Tatizo.
Jamani hili tatizo lake linanitia unyonge sana.
Bibie ana mdomo unanuka haswa, hata ukimpiga tongue kiss inabidi ujishauri.
Na tatizo la pili ni huko kwenye tunda la uhai, kunatoa harufu inakera, ukipiga kimoja ushirikiano na mzee akilala unakuwa hamna, ukikumbuka harufu zote mbili.

Kwa wanawake mliomo humu jamani nipeni ushauri nisikaache haka katoto kazuri.
Hii umeokoteza mahali ila inaweza kusaidia wengine. Pekua hapa hapa kuna nyuzi nyingi tu zinazungumzia solution. i.e unavyoweza kumwambia bila kumuudhi.
 
Sijasema nimewanusa wala kuwagusa lakini kwa michango yenu inaonyeshe mnajitambua
ephen_
Hapa tunapeana mbinu za kimaisha, kunuka jambonla kawaida, mtu yeyote anaweza kuwa na hali hiyo.
Tupeane mbinu tu kujiweka sawa.
 
Back
Top Bottom