Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.

Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha, Moro au kwingineko anakuja tuna spend night bila kikwazo chochote.
Huyu mchepuko wangu anajistahi na ni mpole hana makeke ya ubishoo mitaani.
Na ni mzuri, mzuri haswa.

Tatizo.
Jamani hili tatizo lake linanitia unyonge sana.
Bibie ana mdomo unanuka haswa, hata ukimpiga tongue kiss inabidi ujishauri.
Na tatizo la pili ni huko kwenye tunda la uhai, kunatoa harufu inakera, ukipiga kimoja ushirikiano na mzee akilala unakuwa hamna, ukikumbuka harufu zote mbili.

Kwa wanawake mliomo humu jamani nipeni ushauri nisikaache haka katoto kazuri.
Huo ndio uanaume sasa, unapiga show hadi yai viza. Miaka yote umeona powa sasa kimekusibu nini?
 
Mwanamke mzuri usipokuta ana gono sugu basi atanuka k au mdomo maana hao wanakuwa wanawindwa na watu wengi mi yalinikuta sina hata hamu nao kwa kweli .
 
1. Mfanyie appointment kwa dentist afu mpe namba mwambie akaonane nae.

2. Mfanyie appointment kwa Gyno mpe namba na muda mwambie akaonane nae.

Kuna mambo si matatizo kwanini mnakubali yawe matatizo?
 
Back
Top Bottom