Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Hapa tunapeana mbinu za kimaisha, kunuka jambonla kawaida, mtu yeyote anaweza kuwa na hali hiyo.
Tupeane mbinu tu kujiweka sawa.
Nimekupa mbinu ya kumsaidia kuhusu kunuka mdomo.

Nimekueleza kuwa, hakikisha:
1. Anakula ndizi mbivu 1 au mbili kabla ya mechi au

2. Hakikisha anatafuna karafuu

Ndizi na karafuu hukata harufu ya mdomo hata kwa mlezi..hii inafanya 100%
 
Hii umeokoteza mahali ila inaweza kusaidia wengine. Pekua hapa hapa kuna nyuzi nyingi tu zinazungumzia solution. i.e unavyoweza kumwambia bila kumuudhi.
Mkuu umenena sawa kabisa, niko naye siku nyingi ila sijui namna ya kumwambia asije nichukia.
 
Back
Top Bottom