Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ha ha ha ha poleHuu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa
Chakula cha papuchi ndicho nacho kipendaSisi sio mijitu lol!!....halafu mbeya kuna vyakula vingi sana utakula hadi uchoke
HayaChakula cha papuchi ndicho nacho kipenda
Kinapatikana huko lakini?Haya
HakipoKinapatikana huko lakini?
Ndyo maana pabaya ukoHakipo
Kwani Arachuga hakipo?Ndyo maana pabaya uko
Hapana mimi sikai chugaKwani Arachuga hakipo?
Haya MkuuHapana mimi sikai chuga
Poa poa mkuuHaya Mkuu