Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ha ha ha ha poleHuu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa