Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

Wana muache kuvamia Friji mkitutembelea

Huu sasa usela nnya,washkaji wakija homiz mnaanza kuparamia friji kama na kukomba mazagazaga bila hata huruma,mnadelute tu majuice,bites na kichafua chafua mazingira,tuoneane huruma bwana,kila mtu yupo katika utafutaji hakuna Don hapa, mbaya zaidi mkija na mademu zenu ndio mnaacha uchakavu kabisa,mnachanua tu miguu kwenye kochi kama mpo Leba..
Tumechokaaaa
Ha ha ha ha pole
 
Ulikuwa hujui tabia ya Wasukuma eeh !

Wawekee gunia la unga hapo kwenye corridor na sufuria kubwa wakija getho waambie walirushe ugali hapohapo koridoni...hata mkavu watakula
 
aliyekuambia uwakaribishe nani?sehemu kibao za kukutana ,pub zotr zilizojaa hizi !wacha wajitanue na kujipanua +
 
Back
Top Bottom