Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni utamaduni wao, bado ujinga na upumbavu uko palepale.Tanzania ina makabila mengi na kila mahali wana namna zao za kuonesha furaha au kuwapokea viongozi wao.
Mikoa mingine huwezi kuta mambo kama hayo.
Hivyo wanavyofanya haimaanishi kuwa ni wajinga.
Hapana ni tamaduni.
Mwaka Jana nilikua pale ndanda, nilikua nacheka tu maana kila kitu jamaa wanasema nashukulu, nakushukulu.
Ifahamu nchi yako.
Kwa hiyo we pia unaweza kugaragara hivyo kama haoTanzania ina makabila mengi na kila mahali wana namna zao za kuonesha furaha au kuwapokea viongozi wao.
Mikoa mingine huwezi kuta mambo kama hayo.
Hivyo wanavyofanya haimaanishi kuwa ni wajinga.
Hapana ni tamaduni.
Mwaka Jana nilikua pale ndanda, nilikua nacheka tu maana kila kitu jamaa wanasema nashukulu, nakushukulu.
Ifahamu nchi yako.
UmemalizaNi wajane na walioachika, hakuna Mke wa mtu hapo.
Mtaumia sana na kutukana sana, lakini ndio sasa ishakuwa.Hakuna sheria waliyokiuka.
Ujinga na upumbavu hauko kinyume na sheria yoyote ile ya nchi, kwa kadri nijuavyo.
Watu wana haki ya kuwa wa wajinga na haki ya kuwa wapumbavu.
Kigezo gani hutumika kuashiria upumbavu?Hakuna sheria waliyokiuka.
Ujinga na upumbavu hauko kinyume na sheria yoyote ile ya nchi, kwa kadri nijuavyo.
Watu wana haki ya kuwa wa wajinga na haki ya kuwa wapumbavu.
Hakuna kigezo kimoja.Kigezo gani hutumika kuashiria upumbavu?
View: https://youtu.be/ldflyzj-0S4?si=KSG3nRgnKOUhTRrM
CCM wenye akili kidogo ndo wanapenda mambo kama haya sasa - kuongoza watu walio wajinga na wapumbavu.
Ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili zake timamu, mwenye busara na hekima tu za kawaida, kufanya upumbavu wa kugalagala chini mbele ya viongozi.
Na ithibati ya kuthibitisha kwamba hao viongozi wachache wa CCM walio na vijiakili kidogo kuwa wanapenda kuona mambo kama hayo toka kwa watu wanaowaongoza, ni ukimya wao dhidi ya huo upumbavu.
Mtu mwenye akili akiona watu wapumbavu na walio wajinga wakifanya mambo ya kipumbavu na kijinga, ana wajibu wa kimaadili wa kuyakemea na kuyapinga na kutoa fundisho kuwa hayo mambo si sawa.
Kwa vile haya mambo yanajirudia rudia sana, nashawishika kabisa kuamini kuwa viongozi wa CCM wanayapenda.
Wangekuwa wanayapinga, yasingekuwa yanajirudia rudia sehemu mbalimbali nchini.
CCM ni janga kwa mustakabali wa nchi.
Lakini janga kubwa zaidi ni idadi ya watu walio wajinga na walio wapumbavu.
Leo aliyetoa jero ametuletea balaa jukwaani!Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao.
Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao.
Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. View attachment 2860204
Waafrika kwa kudharau tamaduni zenu hamjambo.Ujinga mtupu
Haya maigizo ya kijinga ccm wanajua kuyapanga sana. Kipindi Cha dhalimu Magu hayo maigizo ya kupanga watu ioneka anakubalika yalifanyika sana.Kila jamii Ina namna au vitendo vya kuonyesha hisia zao. Kipindi Cha Magufuli wenyeji wa Kilimanjaro walibeba Majani kuonyesha kukubali kazi inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM PM na pia kuomba msamaha kwa kutomchagua.
View attachment 2860270
Wa kusifia humu wanalipwa 7kMimi naona hayo matusi yaende kwa hao wanaokubali kufanyiwa upumbavu huo
Hivi wake zao wanagaragara hivyo
So why wakubali wake za wengine wawafanyie hivyo?
Waume za hao kina mama na watoto wao kweli wana moyo