Pre GE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wawape mbinu nyingine, hii tumeizoea.
Kwa kujitoa akili huko!
Harafu na nyie viongozi, hiyo kama ni heshima mbona mama zenu hatuwaoni wakigalagala?
 
Hata kama ni utamaduni wao, bado ujinga na upumbavu uko palepale.

Si kila jambo lililovikwa jina la utamaduni ni zuri.

Kuna mambo mengi ya tamaduni ambayo hayako sawa.
 
Kwa hiyo we pia unaweza kugaragara hivyo kama hao

Ova
 
Hakuna sheria waliyokiuka.

Ujinga na upumbavu hauko kinyume na sheria yoyote ile ya nchi, kwa kadri nijuavyo.

Watu wana haki ya kuwa wa wajinga na haki ya kuwa wapumbavu.
Mtaumia sana na kutukana sana, lakini ndio sasa ishakuwa.
 
Hakuna sheria waliyokiuka.

Ujinga na upumbavu hauko kinyume na sheria yoyote ile ya nchi, kwa kadri nijuavyo.

Watu wana haki ya kuwa wa wajinga na haki ya kuwa wapumbavu.
Kigezo gani hutumika kuashiria upumbavu?
 
Kila jamii Ina namna au vitendo vya kuonyesha hisia zao. Kipindi Cha Magufuli wenyeji wa Kilimanjaro walibeba Majani kuonyesha kukubali kazi inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM PM na pia kuomba msamaha kwa kutomchagua.

 
Ukitaka kuwajua watanzania halisi basi angalia tabia za wanaccm.kuanzia yule wa juu kabisa hadi wa chini akili huwa zinafanana
 
Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao.

Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao.

Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. View attachment 2860204
Leo aliyetoa jero ametuletea balaa jukwaani!
 
Kila jamii Ina namna au vitendo vya kuonyesha hisia zao. Kipindi Cha Magufuli wenyeji wa Kilimanjaro walibeba Majani kuonyesha kukubali kazi inayofanywa na Mwenyekiti wa CCM PM na pia kuomba msamaha kwa kutomchagua.

View attachment 2860270
Haya maigizo ya kijinga ccm wanajua kuyapanga sana. Kipindi Cha dhalimu Magu hayo maigizo ya kupanga watu ioneka anakubalika yalifanyika sana.
 
Mimi naona hayo matusi yaende kwa hao wanaokubali kufanyiwa upumbavu huo
Hivi wake zao wanagaragara hivyo
So why wakubali wake za wengine wawafanyie hivyo?
Waume za hao kina mama na watoto wao kweli wana moyo
Wa kusifia humu wanalipwa 7k

Hao wa kugaragara wanapewa 10k na usafiri wa kwenda na kurudi na madebe ya pombe ya kienyeji yani hapo inaonekana bonge la heshima kwao.

Ila Tanzanja kuna ujinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…