Pre GE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wa kusifia humu wanalipwa 7k

Hao wa kugaragara wanapewa 10k na usafiri wa kwenda na kurudi na madebe ya pombe ya kienyeji yani hapo inaonekana bonge la heshima kwao.

Ila Tanzanja kuna ujinga sana.
Inaumiza sana sana
 
Hizi ni Kelele za chura.
Wagaregare tu kwani tunafuata utamaduni na maadili ya nani hapa?
 
Tusipoangalia kizazi chetu kitapita bila kuliondoa hili jinamizi kwenye uongozi.

It's shame kuendelea kuongozwa na kundi la walafi na wezi wa mali za watanzania namna hii.
 
Inajulikana kanda ya kusini hususani Mtwara na Lindi walivyo wajinga!.
 
Njaa ndio inawafanya wagaregare. Sidhani Kama asiye na njaa anaweza kufanya huo ujinga.
 
Zawadi ya kugalagala chini,wamepewa ubwabwa na 2000
 
Lucas Mwashambwa ni yupi Kati ya hao wakinamama
 
Hakuna sheria waliyokiuka.

Ujinga na upumbavu hauko kinyume na sheria yoyote ile ya nchi, kwa kadri nijuavyo.

Watu wana haki ya kuwa wa wajinga na haki ya kuwa wapumbavu, pia.
🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…